Mdude Nyagali anadai Dkt. Tulia anataka Kumuua

Mdude Nyagali anadai Dkt. Tulia anataka Kumuua

Kwenye ukurasa wake wa Mtandao wa X, anadai Tulia anapanga mipango ya kumuua. Huyu Mdude anapenda ku trend kwa mambo ya kizushi.

---

Kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) Mdude Nyagali anaandika haya:

"Nimepata taarifa za siri kutoka kwa msamalia mwema kwamba Tulia amefadhili kikundi cha GreenGuard kutaka kuniua. Kwamba Green Guard hao wameanza kuuliza ninakoishi na nikakoshinda ili iwe rahisi kufanya unyama juu yangu. Na mimi nimeanza kupeleleza majina ya green Guard hao wote.

Pili ni kwamba Tulia anapaswa kujua kuwa Mdude analindwa na damu ya Yesu, Mungu Mwenyezi yupo pamoja na Mdude ndio maana kila hila zikipangwa juu ya Mdude zinakwama. Mwisho kabisa ni kwamba hizo levo za kuvamiwa na Green Guard + polisi zilishazivuka niko mbele sana."

Kila mtu anajua Tulia ni mwanamke mwenye roho mbaya sana , yaani hata kwa kauli zake ni mwanamke anayehusudu sana siasa za ubabe na mabavu kama za magufuli….
Hata siasa za mbeya za sasa anaziharibu yeye kwa kushurutisha polisi kuwakamata wapinzani na watu wengine ambao anaona wanatumia uhuru wao kuongea kama kina SIFA…
TULIA ni aina ya wabunge ambao wanatamani sana kufanya provocation ili mama akubali kuiba kibabe uchaguzi wa 2025 kama Magufuli maana waanajua bila hivyo hawawezi kupata
Atawaingiza watu kwenye machafuko
 
Kwenye ukurasa wake wa Mtandao wa X, anadai Tulia anapanga mipango ya kumuua. Huyu Mdude anapenda ku trend kwa mambo ya kizushi.

---

Kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) Mdude Nyagali anaandika haya:

"Nimepata taarifa za siri kutoka kwa msamalia mwema kwamba Tulia amefadhili kikundi cha GreenGuard kutaka kuniua. Kwamba Green Guard hao wameanza kuuliza ninakoishi na nikakoshinda ili iwe rahisi kufanya unyama juu yangu. Na mimi nimeanza kupeleleza majina ya green Guard hao wote.

Pili ni kwamba Tulia anapaswa kujua kuwa Mdude analindwa na damu ya Yesu, Mungu Mwenyezi yupo pamoja na Mdude ndio maana kila hila zikipangwa juu ya Mdude zinakwama. Mwisho kabisa ni kwamba hizo levo za kuvamiwa na Green Guard + polisi zilishazivuka niko mbele sana."

Mimi nasema kuwa yule Redio siyo Mnyakyusa ni silent Intarahamwe!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Bila shaka ni ndoto kama zile za Lema.Ni ajabu hata baada ya kutoka usingizini aliendelea kuota hadi akaweka ndoto kwenye maandishi.
Isije ikawa anayakimbia maandamano aliyoyatangaza kuwa yanaanza nchi nzima tarehe 5/ 10/ 23
 
Hii ni hatari sana, inaweza kutumiwa na maadui wa Tulia kummaliza Mdude halafu zigo lote limwangukoe tulia😂😂😂

Naona muda si mrefu Mdude akishitakiwa
Akishitakiwa kwani kamtaja Tulia yupi mana Tz kinatulia wako wengi 😂😂
 
Back
Top Bottom