Mdude Nyagali anadai Dkt. Tulia anataka Kumuua

Mdude ni MWONGO na anajuwa kuwa kaandika uwongo. Hiyo statement haimaninishi Spika wa Bunge ambaye ni mbunge wa Mbeya (M). Angeandika Tulia Ackson basi ndiyo angechukuliwa hatua. Huyo Tulia aliyemuandika yeye anaweza kuwa Tulia Mdude au Tulia Mbowe au Tulia Lissu.

Hata ukimpeleka mahakamani atakushinda maana utaulizwa wapi kasema Tulia Ackson.

Anyway muacheni huyu mwehu, ameathirika kimahabusu mahabusu
 
Wewe huwaga unatatizo la kuwachukia watu tu kwani Mdude akitoa wasiwasi wake juu ta maisha yake ni kosa?

Kwani Tulia si ni binadamu tu wa kawaida?

Mbona alishiriki matukio ya imani za kishirikina kipindi cha uchaguzi hapa Mbeya hukusema chochote?
 
Huwa nashangaa mnaposema mtu anachafuliwa, huku Yuko madarakani kwa wizi wa kura!
 
Hii ni hatari sana, inaweza kutumiwa na maadui wa Tulia kummaliza Mdude halafu zigo lote limwangukoe tulia[emoji23][emoji23][emoji23]

Naona muda si mrefu Mdude akishitakiwa
Kushitakiwa siyo issue zaidi ya yeye kutetea usalama wa maisha yake.
 
Wewe huwaga unatatizo la kuwachukia watu tu kwani Mdude akitoa wasiwasi wake juu ta maisha yake ni kosa?

Kwani Tulia si ni binadamu tu wa kawaida?

Mbona alishiriki matukio ya imani za kishirikina kipindi cha uchaguzi hapa Mbeya hukusema chochote?
Una uhakika sikusema chochote? Natafuta post yangu nutaku tag
 
Wewe huwaga unatatizo la kuwachukia watu tu kwani Mdude akitoa wasiwasi wake juu ta maisha yake ni kosa?

Kwani Tulia si ni binadamu tu wa kawaida?

Mbona alishiriki matukio ya imani za kishirikina kipindi cha uchaguzi hapa Mbeya hukusema chochote?
Nina full thread kulaani kitendo cha Tulia kutembea na jeneza, hii hapa:
 
sio taksi force tena ni Tulia?😳

maana eti huwa anatumiwa vikosi vya taksi force kumkamata na kumtesa 🤣

Eti taksi force inajumuisha polisi, jwtz, magereza na watu wa usalama ndio huwa wanatumwa kumkamata 😜

saivi anatafutwa na Tulia tena, hivi siku 30 walizotoa kwa Serikali bado hazijaisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…