Mdude Nyagali atunga kitabu kuhusu Mateso na unyama aliofanyiwa kwenye Utawala wa Awamu ya 5, kuzinduliwa Machi 5, 2022

copy 1 tafadhaliii ....
(mewaza yaliyoko ndani nkakumbuka kitabu kilichokuwa na kichwa cha habari "RAISI ANAMPENDA MKE WANGU"
 
Matusi hayatakuongezea posho hapo lumumba , jikite kwenye hoja .
ungemuacha aliyekuwa anajibu kama hana akili aendelee sasa na wewe umejiingiza kwenye suala lisilokuhusu unawashwa eee??
 
umeishia darasa la ngapi ?
Tunga kitabu ni tofauti na kuandika kitabu, Benjamin Mkapa na Regnald Mengi waliandika vitabu, Nicco ye Mbajo, Hammie Rajabu walitunga hadithi wakaandika vitabu
 
Ana saa kali sana
 
Huyo mwanamke inaonekana Jiwe alimuomba akapigwa chini
 

Wapi kitauzwa ili tuchangamkie kitabu hiki cha kihistoria.
 
Hata mimi nasubiri hicho kitabu,kuna audio yake nilisikiliza jamaa anakwambia alikuwa anapigwa huku wimbo wa dini umekwa sauti ya juu,halafu chumba cha pili kuna mwanamke analia kwa kipigo cha maumivu akiomba wasimuue aisee..

Katika jengo la kitengo sehemu za Upanga jijini Dar es Salaam ambapo Mdude akichungulia dirishani anaona bendera ya ubalozi wa DR Congo nchini Tanzania uliopo kitongoji cha Upanga jijini Dar es Salaam - Mdude anaelezea ktk audio clip yake iliyopo YouTube.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…