johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Umeamka na pombe badala kunywa supu unafakamia tena double kick, ndiyo shida ya pombe za offer hizo.Siasa ni Sayansi
Hatimaye Mdude Nyagali kaingia kwenye 18 za Chama Dola
Wakati Viongozi Wote wa Chadema wakiachiliwa yeye ameendelea Kushikiliwa
Uingiapo Siasani uwe na Maarifa ya kutosha π
Huyu dogo uwaga Hana akili kabisaSiasa ni Sayansi
Hatimaye Mdude Nyagali kaingia kwenye 18 za Chama Dola
Wakati Viongozi Wote wa Chadema wakiachiliwa yeye ameendelea Kushikiliwa
Uingiapo Siasani uwe na Maarifa ya kutosha π
Inakuhusu nini? Kwensda zako chawa ukafue nguo Kizimkazi, why mention Mbowe na Sugu, ulitka wagome kutoka mpaka Mdude atoke? Wauaji nyie , mtakufa vibayaSiasa ni Sayansi
Hatimaye Mdude Nyagali kaingia kwenye 18 za Chama Dola
Wakati Viongozi Wote wa Chadema wakiachiliwa yeye ameendelea Kushikiliwa
Uingiapo Siasani uwe na Maarifa ya kutosha π
Sijajua kama Mdude ni team Mwenyekiti au la? πΌUmeamka na pombe badala kunywa supu unafakamia tena double kick, ndiyo shida ya pombe za offer hizo.
Namchukia sana yule jamaa kwa maneno na lugha zake za matusiIla jamaa ana maneno makali sana...
Ukiona hivyo ujue hayakuhusu, wewe fuata tu nyayo za Lucas kumshangilia chura kiziwi.Sijajua kama Mdude ni team Mwenyekiti au la? πΌ
Kila Siku Mbowe huwa anagoma kuwa wa kwanza kutoka policeInakuhusu nini? Kwensda zako chawa ukafue nguo Kizimkazi, why mention Mbowe na Sugu, ulitka wagome kutoka mpaka Mdude atoke? Wauaji nyie , mtakufa vibaya
Na wewe kila mwenye akili timamu humu jukwaani anakuchukia kwa uchawa wako.Ningependa akapimwe akili kwanza ili ijulikane kama ni mzima kichwani.Maana lugha na maneno yake anayotoaga ni machafu sana na ambayo hayawezi kutolewa na mtu mwenye utimamu
Namchukia sana yule jamaa kwa maneno na lugha zake za matusi
Hivi mtu mwenye akili Timamu unaweza vipi kugoma kutoka mahabusu kwa sababu ya kumpigania Mdude?Kila Siku Mbowe huwa anagoma kuwa wa kwanza kutoka police
This time imekuwa tofauti kidogo π€£
Mimi siyo chawaNa wewe kila mwenye akili timamu humu jukwaani anakuchukia kwa uchawa wako.
Safari alivyoachiwa hajataka kuangalia nyumaKila Siku Mbowe huwa anagoma kuwa wa kwanza kutoka police
This time imekuwa tofauti kidogo π€£
Wewe Lucas ni Mnyiha au Msafwa? πNingependa akapimwe akili kwanza ili ijulikane kama ni mzima kichwani.Maana lugha na maneno yake anayotoaga ni machafu sana na ambayo hayawezi kutolewa na mtu mwenye utimamu na afya njema ya akili.
Ila Kuna Siku atahitaji Msaada wao πΌMeanwhile Sativa anawakanda vizuri PT huko X