Mdude Nyagali bado anashikiliwa baada ya Mbowe na Sugu kuachiwa huru

Mdude Nyagali bado anashikiliwa baada ya Mbowe na Sugu kuachiwa huru

Siasa ni Sayansi

Hatimaye Mdude Nyagali kaingia kwenye 18 za Chama Dola

Wakati Viongozi Wote wa Chadema wakiachiliwa yeye ameendelea Kushikiliwa

Uingiapo Siasani uwe na Maarifa ya kutosha 😀
Umeamka na pombe badala kunywa supu unafakamia tena double kick, ndiyo shida ya pombe za offer hizo.
 
Siasa ni Sayansi

Hatimaye Mdude Nyagali kaingia kwenye 18 za Chama Dola

Wakati Viongozi Wote wa Chadema wakiachiliwa yeye ameendelea Kushikiliwa

Uingiapo Siasani uwe na Maarifa ya kutosha 😀
Inakuhusu nini? Kwensda zako chawa ukafue nguo Kizimkazi, why mention Mbowe na Sugu, ulitka wagome kutoka mpaka Mdude atoke? Wauaji nyie , mtakufa vibaya
 
Inakuhusu nini? Kwensda zako chawa ukafue nguo Kizimkazi, why mention Mbowe na Sugu, ulitka wagome kutoka mpaka Mdude atoke? Wauaji nyie , mtakufa vibaya
Kila Siku Mbowe huwa anagoma kuwa wa kwanza kutoka police

This time imekuwa tofauti kidogo 🤣
 
Zile kesi zake za kutoa lugha ya matusi na kutishia kupindua nchi (uhaini) zipelekwe mahakamani haraka
 
Ningependa akapimwe akili kwanza ili ijulikane kama ni mzima kichwani.Maana lugha na maneno yake anayotoaga ni machafu sana na ambayo hayawezi kutolewa na mtu mwenye utimamu

Namchukia sana yule jamaa kwa maneno na lugha zake za matusi
Na wewe kila mwenye akili timamu humu jukwaani anakuchukia kwa uchawa wako.
 
Ningependa akapimwe akili kwanza ili ijulikane kama ni mzima kichwani.Maana lugha na maneno yake anayotoaga ni machafu sana na ambayo hayawezi kutolewa na mtu mwenye utimamu na afya njema ya akili.
Wewe Lucas ni Mnyiha au Msafwa? 😀
 
Back
Top Bottom