Mdude Nyagali, muungwana akivuliwa nguo huchutama

Mdude Nyagali, muungwana akivuliwa nguo huchutama

Baraka Mina
Kimbia, hii mada itawavua nguo ccm na watakulaumu Kwa kuwachokoza wananchi!
MDUDE CHADEMA na wafuasi wake lazima waelezwe ukweli. Tabia hii imezidi sana, kipindi kifupi kilichopita Lissu alimtusi Rais kwa kauli za kejeli ambazo zimeanza kuungwa mkono na wafuasi wa Chama hicho.

Tunatakiwa kumheshimu Rais kama kiongozi mkuu wa nchi na Serikali na pia kama mama.
 
Wahenga walisema “Muungwana akivuliwa nguo huchutama” na “asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu.“

Tarehe 01 Julai 2021 Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA) akiwa katika kongamano la kudai katiba mpya alitoa matamshi yasiyokuwa na staha yenye kuleta ukakasi na kichefuchefu kwa kila anayeyasikia na kuyasoma ambayo yaliyomlenga moja kwa moja Rais wa JMT na Mwenyekiti wa CCM...
Rais siyo mama ni rais wa nchi kumuita mama ni kutuondolea moral obligation ya kukosoa na kumuonya anaposhindwa kutekeleza wajibu wake.

Rais hatuongozi kama mama anatuongoza kama rais wa nchi.

Umama usiwe kivuli cha kujificha asikosolewe.

Acheni uzwazwa
 
Wahenga walisema “Muungwana akivuliwa nguo huchutama” na “asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu.“

Tarehe 01 Julai 2021 Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA) akiwa katika kongamano la kudai katiba mpya alitoa matamshi yasiyokuwa na staha yenye kuleta ukakasi na kichefuchefu kwa kila anayeyasikia na kuyasoma ambayo yaliyomlenga moja kwa moja Rais wa JMT na Mwenyekiti wa CCM...
Kwani huyo Mdude aliwahi kumnyoa nani na kwa uwezo wa wembe gani zaidi ya yeye kunyolewa? Laiti kungekuwa na duka la kununua busara huyu angenunuliwa japo kijiko kidogo. Apuuzwe tu.
 
Dah huyu jamaaa bhana

Sasa huyo mtangulizi alimnyoa nini kama sio yeye ndo alinyolewa kwa kuswekwa ndani bila huruma
 
Kwani huyo Mdude aliwahi kumnyoa nani na kwa uwezo wa wembe gani zaidi ya yeye kunyolewa? Laiti kungekuwa na duka la kununua busara huyu angenunuliwa japo kijiko kidogo. Apuuzwe tu.
Wajinga ndio maana wanaumia sana kwa sababu ya kujiona kwao mashujaa.

Wenzao wajanja akina mbowe hayawakuti kwa sababu wanaenda kwa timing saana wanaepukana na mateso makali yanayotokana na matokeo ya vinywa vyao.
 
Mkuu CCM imejengwa chini ya misingi ya kujisahihisha.
Soma zaidi hapa:
Magufuli alijisahihisha lini?
 
Magufuli alivyokuwa anatukana watanzania kuwa wabaki na mavi yao nyumbani yalikuwa ni maneno yenye staha?Kheri James alivyokuwa anatukana watu hovyohovyo yalikuwa ni maneno yenye staha?Uliwahi kukemea mambo haya?
View attachment 1841099
Kwahiyo wewe maoni yako ni yapi kwamba unakubali kwamba Mdude kaongea maneno yasiyo na staha ila hata wengine hufanya hivyo au au kwamba unakataa alichosema Mdude ni kawaida hakuna tusi?
 
Kwahiyo wewe maoni yako ni yapi kwamba unakubali kwamba Mdude kaongea maneno yasiyo na staha ila hata wengine hufanya hivyo au au kwamba unakataa alichosema Mdude ni kawaida hakuna tusi?
Maoni yangu ni kwamba kabla hujaangalia mauchafu ya watu wengine angalia kwanza mauchafu yako, ukiri kwa uma kuwa una mauchafu mengi,ujisahihishe, kisha uombe msamaha kwa uma kuwa wewe ni mchafu sana na umedhamiria kuacha mauchafu yako na hutorudia tena.
 
Wanaompa PLATFORM ya kuongea huo upuuzi ni wapuuzi.
Huyu dogo anapaswa kukaa chini na kutulia, ataumizwa
 
Maoni yangu ni kwamba kabla hujaangalia mauchafu ya watu wengine angalia kwanza mauchafu yako, ukiri kwa uma kuwa una mauchafu mengi,ujisahihishe, kisha uombe msamaha kwa uma kuwa wewe ni mchafu sana na umedhamiria kuacha mauchafu yako na hutorudia tena.
Asante kwa maoni yako.

Ila je Mdude kaongea maneno yasiyo na staha ambayo na wengine huyaongea pia au kwamba alichosema Mdude si matusi kama wengine wanavyodai?
 
Asante kwa maoni yako.

Ila je Mdude kaongea maneno yasiyo na staha ambayo na wengine huyaongea pia au kwamba alichosema Mdude si matusi kama wengine wanavyodai?
Kitakachoonyesha kuwa ni matusi au siyo matusi ni katiba.Kwani katiba inasemaje?
 
Hata huyo ndugu James alivyoona hali ya hewa imebadilika alijitokeza hadharani akaomba msamaha kwa kauli zake za kujua au kutokujua. Labda nikuulize: katka utaeala huu wa awamu ya 6 ni kauli gani chafu imewahi kutolewa na viongozi ukiachana na ile ya kasesera (ambae uteuzi wake ulitenguliwa)?
Uko sahihi mkuu na nimewaeleza hapa.
 
Mdude anahitaji counseling ya kutosha. Amepitia mengi na ya kuumiza. Lakini hiyo isiwe sababu ya yeye kutoa matamshi yasiyo na heshima na ambayo hayaleti tija. Chadema wasipokuwa serious, ita wa cost sana kauli kama hizi za Mdude. Siasa siyo matusi wala kukoseana heshima, bali ni kuelezana na kurekebishana pale penye challenges kwa manufaa ya wananchi wote. Hakuna aliyekataa kwamba Mdude amepitia mengi. Pamoja na yote hayo, isiwe sababu ya kutoa kauli zinazokosa heshima. Lazime afikiri kwanza kabla ya kutoa kauli zake. I hope kauli aliyoitoa hivi karibuni does not define him, na kama binadamu ajirudi. La sivyo naona kama trend ndiyo hii, anapoelekea itamuharibia sana.
Tunahitaji ushindani wa hoja, ajitokoze na kuomba msamaha kauli zake hazina afya kwa siasa za taifa letu.
 
Sasa mkuu, kusema wembe atakao aliotumia kumnyolea mzee Magu ndio atamnyolea na Samia unaona ni kauli chafu kweli? Be seriously, after all Ccm wana wimbo kabisa unasema wembe ni ule ule.
Utofauti wa wembe wa Mdude na wimbo wa CCM ni kuwa CCM ilisema tunashinda na mdude yeye dharau na kejeli.
 
Huyu Mdude ametrend kweli, kila dakika anafunguliwa uzi mpya🤣🤸🐒
Tunamwambia ukweli asije akajisahau akaendelea kujaa kama chura katikati ya barabara wakati wa usiku.
 
Back
Top Bottom