Mdude Nyagali, muungwana akivuliwa nguo huchutama

Mdude Nyagali, muungwana akivuliwa nguo huchutama

Thread ya kipumbavu kabisa! Nothing more nothing less!
Mkuu hatuwezi kugawana mbao ili jahazi lizame. Vitendo viovu kama hivi tutavikemea kwa uwazi bila kusita, kila binadamu anastahili heshima.
 
Kwani Mdude na Rais Samia hawaelewani? maana sijaelewa sababu ya kutumika kauli kama ile ya "huyo mama yenu..." katika hali ya kawaida kwa mtu ambaye huna tatizo nae.
Umenena vyema Mkuu 👏👏👏👏👏👏👏👏
 
Kashauriane kwanza na wanaccm huru kwanza ndo uje tutakusikiliza
Rais ni wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni kiongozi wetu sote haijalishi anatokea Chama gani. Binadamu wote ni sawa, hakuna asiye na doa lakini staha inahitajika.
 
Ni kweli suala la heshima sio tu kwa Rais bali na wanajamii kwa sababu ada ya mja hunena muungwana ni kitendo. Mtu mwema katika jamii tunamtambua kwa matendo yake lakini domokaya kwa maneno matupu yenye kejeli.
Sawa nakumbuka kuna mtu alisema "kalale na mavi yako", bila shaka huyu ni domokaya!
 
Stick to the point and quit being a moron! Mtu akimtukana mwizi ni kosa kwasababu tu mwizi hajafikishwa mahakamani?

On the other hand, hakuna kosa lolote alilofanya mdude kwenye kauli zake.
Point gani ambayo unataka mimi nio stick tu? Nyiee endeleeni kumtumia
 
Well said Brother...cha kushangaza hata viongozi wake wamekaa kimya kabisa...Pumbavu kabisa huyu kijana...ashukuru Mungu tu alimchukua Magu hata kama alikuw hana makosa ..kwa kauli hizi za kipumbavu angeendela kukaa huko jela..na ashukuru Mungu uongozi wa Samia umeingia na leo yeye yuko nje kwa juhudi za Rais Samia afu anakuja kutoa kauli ambazo hazina adabu...hapo hata Rais sijui anajisikiaje.Siasa za kipumbav kama hizi ndio huwa zinawafanya watu wawe na second thoughts abt Chadema...so immature..
watasema nn wakati ndio hao hao,
wote pamoja na viongozi wao hawana nidhamu hata chembe, hawafai hata kuwaita kwenye meza ya majadiliano.
ndio maana Hayati JPM aliwapuuza kabisa.
kwa mwendo wao huo ulio kosa heshima kwa mamlka hawafai hata kukaribishwa ikulu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watasema nn wakati ndio hao hao,
wote pamoja na viongozi wao hawana nidhamu hata chembe, hawafai hata kuwaita kwenye meza ya majadiliano.
ndio maana Hayati JPM aliwapuuza kabisa.
kwa mwendo wao huo ulio kosa heshima kwa mamlka hawafai hata kukaribishwa ikulu .

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna muda unajiuliza hivi hawa wanafundishana nini kwenye vikao vya ndani na huwa wanazungumza kwa lugha gani.
Kikao chao kizima inaoenekana matusi huwa yanatawala.
 
Point gani ambayo unataka mimi nio stick tu? Nyiee endeleeni kumtumia
Hakuna makosa ya kisheria kwenye ukosoaji wake. Ndiyo maana ikabidi abambikiwe kesi ya madawa ya kulevya. Hata sasahivi kama ana kosa la kisheria, si mumpeleke mahakamani?

Siasa za femilia, siyo sawa na siasa za demokrasia ya vyama vingi. Tuna matatizo sana sisi waafrika.
 
Kabla ya kuandika bandiko hili la kumshutumu huyo Mdude ulishawahi kuwaandikia viongozi was ccm waliowahi kutoa kauli zisizo na staha?

Rejea kauli za Heri James kule Arusha na kwingineko juu ya kumchoma Lissu sindano ya sumu!

Pia rejea kauli ya mh. juu ya askari was ccm kukosa shabaha! Na kauli nyingine nyingi zisizo na staha kutoka Kwa ccm. Hizo kwako zilikuwa kauli njema siyo?

Mdude hajamtaja mtu Kwa jina, ni kitu Gani kikuwashe kumhukumu Kwa utovu was nidhamu?

Neno wembe lipo kwenye nyimbo ya hamasa ya ccm iliyotungwa na tot na huimbwa na wanaccm mara nyingi. Kwanini Mdude akiutaja wembe ninyi ccm mnahamaki na kuona ukosefu was adabu?

Najua ccm mna mbinu chafu za kuchepusha dai la katiba mpya Kwa kujificha nyuma ya Mdude, hamtafanikiwa kuuzima moto wa katiba mpya kirahisi hivi. Jipangeni kwani wanakuja kina Mdude wengi mno!
YAANI NYIE NYAU WA CHADEMA NDIYO MTUSUMBUE ? KIMA NYIE
 
Two wrongs don't make it right, sababu huyu alifanya vile haikupi sababu ya wewe kufanya pia
Logic yangu ni kwamba kabla hujaangalia mauchafu ya watu wengine angalia kwanza mauchafu yako, ukiri kwa uma kuwa una mauchafu mengi,ujisahihishe, kisha uombe msamaha kwa uma kuwa wewe ni mchafu sana na umedhamiria kuacha mauchafu yako na hutorudia tena.
 
YAANI NYIE NYAU WA CHADEMA NDIYO MTUSUMBUE ? KIMA NYIE
Hapo umetumia kiwango chote Cha staha ulichokuwa nacho au Kuna ulichobakiza? Siku ya bwana itafika TU na katiba mpya itakuwa lazima utake ama usitake haitusumbui!
 
huwa nasema chadema wengi wao ni mapimbi.Huwezi kumsema vibaya rais kwa staili hii.
unaposema wembe uliyotumia kwa mtu ambaye na marehemu tukisema wewe ndiye uliyemuua tutakuwa tumekosea?

Huyo mama Yenu::: kwa lugha nyengine wewe siyo mama yako,hivyo wewe ni mtoto haramu

utamnyoa ::unaweza kumnyoa mama yako ??

by the way ,huyu jamaa ni kabila gani?
Huo wembe mmeutaja mara ngapi huko ccm? Mbona ninyi hamkuona Kama siyo staha kuutumia usemi huo?
Nakushauri urudi darasani ukasome SoMo la kiswahili Tena huenda ukasaidika!
Nisiache kukushangaa Kwa kuwa na kipaji Cha kubishana na pimbi! Hivi wale wanaoendesha kile kikundi Cha kuwaingiza watu wenye vitu adhimu kwenye tuzo za Guinness award hawajakuona? Jitahidi wakuone bwana ili uambulie hiyo tuzo!
 
Back
Top Bottom