Mdude Nyagali, muungwana akivuliwa nguo huchutama

Rais alisema hana shida ya kukoselewa ila inatakiwa kukosolewa kwa staha.
Hata nyumbani mama anakosea na kuelezwa kwa nidhamu.
 
Pumbavu kabisa! Unataka uungwana wa kulamba nyayo! Shenzi!
 
Kwani huyo Mdude aliwahi kumnyoa nani na kwa uwezo wa wembe gani zaidi ya yeye kunyolewa? Laiti kungekuwa na duka la kununua busara huyu angenunuliwa japo kijiko kidogo. Apuuzwe tu.
Analeta ujuaji tu lakini Hana lolote zaidi ya kukosa nidhamu.
 
Dah huyu jamaaa bhana

Sasa huyo mtangulizi alimnyoa nini kama sio yeye ndo alinyolewa kwa kuswekwa ndani bila huruma
Kijana anakosa nidhamu. Anajiona anajua na yupo juu ya vitu vyote.
 
Wajinga ndio maana wanaumia sana kwa sababu ya kujiona kwao mashujaa.

Wenzao wajanja akina mbowe hayawakuti kwa sababu wanaenda kwa timing saana wanaepukana na mateso makali yanayotokana na matokeo ya vinywa vyao.
MDUDE CHADEMA likija kumuangikia ataona.
 
Wanaompa PLATFORM ya kuongea huo upuuzi ni wapuuzi.
Huyu dogo anapaswa kukaa chini na kutulia, ataumizwa
Wanataka kumpa nafasi kuonekana kama mshindi wa Chama. Lakini kijana Hana hoja.
 
huwa nasema chadema wengi wao ni mapimbi.Huwezi kumsema vibaya rais kwa staili hii.
unaposema wembe uliyotumia kwa mtu ambaye na marehemu tukisema wewe ndiye uliyemuua tutakuwa tumekosea?

Huyo mama Yenu::: kwa lugha nyengine wewe siyo mama yako,hivyo wewe ni mtoto haramu

utamnyoa ::unaweza kumnyoa mama yako ??

by the way ,huyu jamaa ni kabila gani?
 
CHADEMA wazinguaji sana eti kijana anaonekana anajua. Analeta siasa za majitaka.
Inaonekana hajalelewa vizuri kijamii na kisiasa. Ni shida sana kuona kijana kama huyu alisema anataka kuwa rais 2045.
 
Rais alisema hana shida ya kukoselewa ila inatakiwa kukosolewa kwa staha.
Hata nyumbani mama anakosea na kuelezwa kwa nidhamu.
Wakosoaji anataka awapangie namna ya kukosoa ?

Mtu anakosoa utashi wake siyo kwa utashi wa anayekosolewa

Kama hamtaki akosolewe mwondoeni kwenye kiti cha urais ili asikosolewe.
 
Uungwana wa kujibu hoja kwa hoja na siyo hoja kwa matusi.
Shindana kwa kuleta hoja bora.
Tusi nalo ni hoja kwa wapumbavu! Wananchi wote nchi hii ni sawa hakuna cha Rais wala mtwana! Rais na mtwana wataheshimika kwa matendo yao na si nafasi zao katika jamii!
 
Haisaidii !!. Aliyedili na kuwaumiza watu yuko wapi sasa ?!.
 
Thread ya kipumbavu kabisa! Nothing more nothing less!
 
Stick to the point and quit being a moron! Mtu akimtukana mwizi ni kosa kwasababu tu mwizi hajafikishwa mahakamani?

On the other hand, hakuna kosa lolote alilofanya mdude kwenye kauli zake.
 
Kitakachoonyesha kuwa ni matusi au siyo matusi ni katiba.Kwani katiba inasemaje?
Sie wananchi tuliyo wengi hatuna kabisa uelewa na katiba, sasa ukiniuliza habari za katiba unakuwa unanipa mtihani labda hiyo katiba mpya ndio tutaielewa.
 
Stick to the point and quit being a moron! Mtu akimtukana mwizi ni kosa kwasababu tu mwizi hajafikishwa mahakamani?

On the other hand, hakuna kosa lolote alilofanya mdude kwenye kauli zake.
Kwani Mdude na Rais Samia hawaelewani? maana sijaelewa sababu ya kutumika kauli kama ile ya "huyo mama yenu..." katika hali ya kawaida kwa mtu ambaye huna tatizo nae.
 
Wakosoaji anataka awapangie namna ya kukosoa ?

Mtu anakosoa utashi wake siyo kwa utashi wa anayekosolewa

Kama hamtaki akosolewe mwondoeni kwenye kiti cha urais ili asikosolewe.
Ukosoaji lazima uwe na hoja na sio maneno yenye uhuni. Tujifunze vizuri siasa za ukosoaji zikoje.
 
Tusi nalo ni hoja kwa wapumbavu! Wananchi wote nchi hii ni sawa hakuna cha Rais wala mtwana! Rais na mtwana wataheshimika kwa matendo yao na si nafasi zao katika jamii!
Ni kweli suala la heshima sio tu kwa Rais bali na wanajamii kwa sababu ada ya mja hunena muungwana ni kitendo. Mtu mwema katika jamii tunamtambua kwa matendo yake lakini domokaya kwa maneno matupu yenye kejeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…