Mdude Nyagali, muungwana akivuliwa nguo huchutama

Thread ya kipumbavu kabisa! Nothing more nothing less!
Mkuu hatuwezi kugawana mbao ili jahazi lizame. Vitendo viovu kama hivi tutavikemea kwa uwazi bila kusita, kila binadamu anastahili heshima.
 
Kwani Mdude na Rais Samia hawaelewani? maana sijaelewa sababu ya kutumika kauli kama ile ya "huyo mama yenu..." katika hali ya kawaida kwa mtu ambaye huna tatizo nae.
Umenena vyema Mkuu 👏👏👏👏👏👏👏👏
 
Kashauriane kwanza na wanaccm huru kwanza ndo uje tutakusikiliza
Rais ni wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni kiongozi wetu sote haijalishi anatokea Chama gani. Binadamu wote ni sawa, hakuna asiye na doa lakini staha inahitajika.
 
Ni kweli suala la heshima sio tu kwa Rais bali na wanajamii kwa sababu ada ya mja hunena muungwana ni kitendo. Mtu mwema katika jamii tunamtambua kwa matendo yake lakini domokaya kwa maneno matupu yenye kejeli.
Sawa nakumbuka kuna mtu alisema "kalale na mavi yako", bila shaka huyu ni domokaya!
 
Stick to the point and quit being a moron! Mtu akimtukana mwizi ni kosa kwasababu tu mwizi hajafikishwa mahakamani?

On the other hand, hakuna kosa lolote alilofanya mdude kwenye kauli zake.
Point gani ambayo unataka mimi nio stick tu? Nyiee endeleeni kumtumia
 
watasema nn wakati ndio hao hao,
wote pamoja na viongozi wao hawana nidhamu hata chembe, hawafai hata kuwaita kwenye meza ya majadiliano.
ndio maana Hayati JPM aliwapuuza kabisa.
kwa mwendo wao huo ulio kosa heshima kwa mamlka hawafai hata kukaribishwa ikulu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna muda unajiuliza hivi hawa wanafundishana nini kwenye vikao vya ndani na huwa wanazungumza kwa lugha gani.
Kikao chao kizima inaoenekana matusi huwa yanatawala.
 
Point gani ambayo unataka mimi nio stick tu? Nyiee endeleeni kumtumia
Hakuna makosa ya kisheria kwenye ukosoaji wake. Ndiyo maana ikabidi abambikiwe kesi ya madawa ya kulevya. Hata sasahivi kama ana kosa la kisheria, si mumpeleke mahakamani?

Siasa za femilia, siyo sawa na siasa za demokrasia ya vyama vingi. Tuna matatizo sana sisi waafrika.
 
YAANI NYIE NYAU WA CHADEMA NDIYO MTUSUMBUE ? KIMA NYIE
 
Two wrongs don't make it right, sababu huyu alifanya vile haikupi sababu ya wewe kufanya pia
Logic yangu ni kwamba kabla hujaangalia mauchafu ya watu wengine angalia kwanza mauchafu yako, ukiri kwa uma kuwa una mauchafu mengi,ujisahihishe, kisha uombe msamaha kwa uma kuwa wewe ni mchafu sana na umedhamiria kuacha mauchafu yako na hutorudia tena.
 
YAANI NYIE NYAU WA CHADEMA NDIYO MTUSUMBUE ? KIMA NYIE
Hapo umetumia kiwango chote Cha staha ulichokuwa nacho au Kuna ulichobakiza? Siku ya bwana itafika TU na katiba mpya itakuwa lazima utake ama usitake haitusumbui!
 
Huo wembe mmeutaja mara ngapi huko ccm? Mbona ninyi hamkuona Kama siyo staha kuutumia usemi huo?
Nakushauri urudi darasani ukasome SoMo la kiswahili Tena huenda ukasaidika!
Nisiache kukushangaa Kwa kuwa na kipaji Cha kubishana na pimbi! Hivi wale wanaoendesha kile kikundi Cha kuwaingiza watu wenye vitu adhimu kwenye tuzo za Guinness award hawajakuona? Jitahidi wakuone bwana ili uambulie hiyo tuzo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…