Mdude Nyagali: Wamasai wanafukuzwa Ngorongoro baada ya ‘Vasco Da Gama’ kuwauzia Wajomba zake waarabu eneo lao

Wabongo hawataki ilo wao mradi upinzani umesema bhc kila kitu wanachukua kama kilivo
Inaumiza mnoo pale ukiwaelewesha wanakuona chawa wtf?
Ni kweli wameacha kuwa chama cha siasa na wamekuwa wanaharakati
 
Hivi huu ushetani hadi lini?
Watanzania tuamke na tuache tofauti za ki-chama tutetee wenzetu kwani kesho ni sisi tutauzwa
 
Siasa ikiwekwa pembeni- watu na wanyama kwa style ya Ngorongoro hawawezi ku co exist na kuweza kuwa wote salama. Something will have to give.
  • Wanyama wakibanwa na mifugo eco system inakuwa challenged na uwindani haramu unaongezeka, magonjwa ya mifugo yanawaingilia wanyama pori, pia mioto ya asili ya pori inabdilika maana mifugo inaweza pia introduce mimea ya kwinginepo inapotoka kupitia kinyesi.
  • ⁠kwa upande wa binadamu, ni ngumu sana kupeleka huduma za kijamii kwa makundi yanayoishi kwa kuwa scattered tena kwenye maeneo yenye hatari. Hivyo it’s hard to have your cake and eat it too. Maendeleo ya service za jamii ili wayapate hiyo namna wanavyoishi inabidi ibadilike.
Watu wanataka wenzao waendelee kuishi na simba porini akati wao hata mmbwa akibweka wanakimbia.. Huezi eka shule ndani ya hifadhi hao watoto usalama wao utakuaje?
Ila watu wanajidai wanasiasa wote
 
Miaka ya nyuma ikiwezekana, tena kipindi kukiwa hakuna miundombinu ya uhakika, leo ndiyo ije ishindikane pamoja na maendeleo makubwa ya kiteknolojia yalifyofikiwa?
 
Shule ipo, Zahanati ipo. Na vyote vyote vimekuwepo Ngorongoro hata kabla hujazaliwa.
 
Miaka ya nyuma ikiwezekana, tena kipindi kukiwa hakuna miundombinu ya uhakika, leo ndiyo ije ishindikane pamoja na maendeleo makubwa ya kiteknolojia yalifyofikiwa?
Teknolojia ipi waweza kujenga shule na watoto wakasoma bila hatari ya kushambuliwa na wanyama wakali?
 
Back
Top Bottom