Mdude Nyagali: Wamasai wanafukuzwa Ngorongoro baada ya ‘Vasco Da Gama’ kuwauzia Wajomba zake waarabu eneo lao

Mdude Nyagali: Wamasai wanafukuzwa Ngorongoro baada ya ‘Vasco Da Gama’ kuwauzia Wajomba zake waarabu eneo lao

Yaan huyo naona sasa ameamua na anatembea na slogan ya kuzaliwa ni mara moja na kufa ni mara moja hivyo hana cha kupoteza hata wakimuua wauwaji wake watamfusta tu huko waliko mtanguliza yeye kila mmoja kwa wakati wake
Kwa hii serikali dhalimu ni hatari sn
 
Hujui kitu Mdude_Nyagali ila ni kawaida ya CHADEMA kurukia matukio kwq kuwa hamna Agenda yenu mnayotetea kama chama.

Pata ushauri hapa wa Fatma Karume, mwanasheria mbobezi
IMG-20240818-WA0060.jpg
 
Ukweli usemwee
Ccm Chama changu hapa mmekosea sanaaa

Wamasai wamelinda Ngorongoro toka enzi na enzii.

Leo mnawaondoa and additionally mnasema ni ihari kuhama kwanini sasa

Waliobaki muwanyime huduma za kijamiii.

Tatu hata Zanzibar kuna utaliii kwanini hamuanzi kuwahamisha wanzazibari ili kuboresha huo utaliii.

What I notice ni njaaa tuuu zinawasumbua baadhi yetuu

Na Mama Samia hapo kama umeshauriwa vizri umeingizwa mkenge na hiyo laana itakutakusumbua hadi maisha yako yotee.

Also chaajabu hakuna hata media hata moja inariport jambo hilo

This is shame wato wako huko sijui Kizimkazii kwa mambo ya ovyoo.
CCM ni chama cha kishetani haswa
 
Fatuma atuambie sasa ni nini hasa kinatokea Ngorongoro.
Siasa ikiwekwa pembeni- watu na wanyama kwa style ya Ngorongoro hawawezi ku co exist na kuweza kuwa wote salama. Something will have to give.
  • Wanyama wakibanwa na mifugo eco system inakuwa challenged na uwindani haramu unaongezeka, magonjwa ya mifugo yanawaingilia wanyama pori, pia mioto ya asili ya pori inabdilika maana mifugo inaweza pia introduce mimea ya kwinginepo inapotoka kupitia kinyesi.
  • ⁠kwa upande wa binadamu, ni ngumu sana kupeleka huduma za kijamii kwa makundi yanayoishi kwa kuwa scattered tena kwenye maeneo yenye hatari. Hivyo it’s hard to have your cake and eat it too. Maendeleo ya service za jamii ili wayapate hiyo namna wanavyoishi inabidi ibadilike.
 
Back
Top Bottom