GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Wamasai hawatamsahau Mtanganyika Magufuli. Angekuwepo wasingepata na haya maswaibu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamasai hawatamsahau Mtanganyika Magufuli. Angekuwepo wasingepata na haya maswaibu!
Mungu aliyewaumbia hapo hakukosea,angetaka hiyo mbuga angewapelekea hao waarabuBinafsi naona ni sawa waondolewe maana kama eneo hawaruhusiwi endeleza wanakaa kwa ajili gani?
Si tuna freedom of Speech hapa Tanganyika.Mdude naye apunguze ukali wa maneno watamuua kwa sumu siku wakimkamata
Yaan huyo naona sasa ameamua na anatembea na slogan ya kuzaliwa ni mara moja na kufa ni mara moja hivyo hana cha kupoteza hata wakimuua wauwaji wake watamfusta tu huko waliko mtanguliza yeye kila mmoja kwa wakati wakeMdude naye apunguze ukali wa maneno watamuua kwa sumu siku wakimkamata
Ni KWELI kabisa, achukue tahadhari kubwa Sana, pia awe mwangalifu.Mdude naye apunguze ukali wa maneno watamuua kwa sumu siku wakimkamata
Haipo hiyoSi tuna freedom of Speech hapa Tanganyika.
Kwa hii serikali dhalimu ni hatari snYaan huyo naona sasa ameamua na anatembea na slogan ya kuzaliwa ni mara moja na kufa ni mara moja hivyo hana cha kupoteza hata wakimuua wauwaji wake watamfusta tu huko waliko mtanguliza yeye kila mmoja kwa wakati wake
Asee wanahasira naye balaaNi KWELI kabisa, achukue tahadhari kubwa Sana, pia awe mwangalifu.
Basi hawa watu ni hatari sana kuliko hata saratani ya ubongo!Mdude naye apunguze ukali wa maneno watamuua kwa sumu siku wakimkamata
Hujui kitu Mdude_Nyagali ila ni kawaida ya CHADEMA kurukia matukio kwq kuwa hamna Agenda yenu mnayotetea kama chama.
Hawana nia njema na mtu yoyote wao ni madaraka kwanzaBasi hawa watu ni hatari sana kuliko hata saratani ya ubongo!
CCM ni chama cha kishetani haswaUkweli usemwee
Ccm Chama changu hapa mmekosea sanaaa
Wamasai wamelinda Ngorongoro toka enzi na enzii.
Leo mnawaondoa and additionally mnasema ni ihari kuhama kwanini sasa
Waliobaki muwanyime huduma za kijamiii.
Tatu hata Zanzibar kuna utaliii kwanini hamuanzi kuwahamisha wanzazibari ili kuboresha huo utaliii.
What I notice ni njaaa tuuu zinawasumbua baadhi yetuu
Na Mama Samia hapo kama umeshauriwa vizri umeingizwa mkenge na hiyo laana itakutakusumbua hadi maisha yako yotee.
Also chaajabu hakuna hata media hata moja inariport jambo hilo
This is shame wato wako huko sijui Kizimkazii kwa mambo ya ovyoo.
Fatuma atuambie sasa ni nini hasa kinatokea Ngorongoro.Hujui kitu Mdude_Nyagali ila ni kawaida ya CHADEMA kurukia matukio kwq kuwa hamna Agenda yenu mnayotetea kama chama.
Pata ushauri hapa wa Fatma Karume, mwanasheria mbobezi
View attachment 3073724
Hata Mungu anakucheka. Mungu hakuna anayemsaidia, alishaipa ipa Nature kufanya kazi. Kama wewe unangojea Mungu basi utangoja sanaMungu atamlinda
Siasa ikiwekwa pembeni- watu na wanyama kwa style ya Ngorongoro hawawezi ku co exist na kuweza kuwa wote salama. Something will have to give.Fatuma atuambie sasa ni nini hasa kinatokea Ngorongoro.
Tushawachoka na habar zenu za waarabu waarabu kila cku tafuteni kiki ingine
Hapana mkuu kuna mda mtu analiwa kichwa ili waliobaki wawe salamaKuua mtu ni upumbafu uliopitiliza