Mdude Nyangali, Wakili Mwabukusi na wenziwe wadaiwa kuundiwa mashtaka ya Uhaini

Mkuu
TLS ilianza kubanwa kwa kuundiwa kamati ya maadili ya mawakili ambayo ina nguvu kuliko TLS yenyewe.

Mwenyekiti wa kamati hiyo ni DPP

Unategemea watasema nini zaidi ya kuanza kupambania members wake mahakamani?
Lakini angalau mambo haya yanaweza kusaidia kuwaamsha makondoo ya Tanzania.

Maana kuwapigania Watanzania ni kazi bure kabisa.
 
DPP aikatae Hati ya Mashtaka Kwani imeandaliwa na nani?
 
Hata hizo nchi zinazisifiwa na kuwa na katiba nzuri, hazichzewi kama akina Mdude wanavyoichezea Tanzania chini ya Samia. Waache wakumbushwe tu kuwa Serikali iko macho
 
DPP ndiye kawatuma waunde mashitaka hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…