Mdude: Tanzania haina kifaa cha uokozi kwenye majanga ya Vifusi na maji (rescue radar)

Mdude: Tanzania haina kifaa cha uokozi kwenye majanga ya Vifusi na maji (rescue radar)

Tatizo uwezo wake mdogo.Huenda hata hicho kifaa hajawahi kukisikia au hajui kama kipo ndiyo maana kagawa milioni 700 kwenye vitu visivyo vya maana.
 
Chadema inunue kifaa kwa kutumia bajeti gani wakati bunge limeidhinisha bajeti ya maafa? Huko ccm wengi hamna akili pumbavu zenu
Mwenyewe unaona umetoa point ndio maana hivi vyuo vya sasa wahitimu wengi hawana ajira kwa kukosa maarifa!
 
u

Unawaangusha wenye vipara
Kawaaibisha wenye vipara wa siku hizi waonekane utopolo,zamani vipara vilikuwa na heshima yake ilikuwa ukimuona mtu mwenye upara unaassume either atakuwa Doctor,Professor,Great thinker,Intelectual
 
Back
Top Bottom