Mdude: Tutafanyia kongamano kituo cha polisi

Ma CCM hutumia maelezo hata ya kijinga kutusambaratisha. Usishangae kuyakuta yakitega kunguru hata kwa maharage makavu.
[emoji1787][emoji1787]
Kule mzimuni kwetu...

Ule mzimu wa bagamoyo.....palipowekwa nadhiri kuwa CCM itakuwepo sanaaa....

Huwa tunawatega kunguru na yale maharage ya KOMBATI.....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hivi haya mapunbavu Mwakabusi na Slaa wanaendeshwa na hili pumbavu la mapunbavu kwa jina Mdude_Nyagali ? Shame on watu wazima kuendeshwa na kijana mropokaji matusi.

Waambieni kuwa Watanzania hatutaki ujinga wenu. Kama hamna la kufanya sisi tuko busy tunachungulia fursa
 
Mwambukusi na Dr.Slaa wanashangaza sana.....[emoji1787][emoji1787]

Mdude Nyagali is hopeless.....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mkifanya hivyo, mtakuwa mmewapa nafasi nzuri ya kuwakwamisha zaidi. Kukusanyika kituo cha polisi watakutumia kama mnakwenda kukiteka kituo.

Tumieni akili zaidi.
Haya siyo mapambano ya kijingajinga.
 
Mkifanya hivyo, mtakuwa mmewapa nafasi nzuri ya kuwakwamisha zaidi. Kukusanyika kituo cha polisi watakutumia kama mnakwenda kukiteka kituo.

Tumieni akili zaidi.
Haya siyo mapambano ya kijingajinga.
Hahahah nimecheka 😂😂😂 et mmeenda kukiteka kituo cha polisi 😂😂😂😂

Sema kwa bongo haishindikani kabisaa
 
Badala ya Kongamano linalohitaji Ukumbi badala yake ungefanyika mkutano mkubwa wa hadhara.
 
Waambieni kuwa Watanzania hatutaki ujinga wenu. Kama hamna la kufanya sisi tuko busy tunachungulia fursa
Fursa za IGA badowewe unamatumaini nazo?
Nyinyi waTanzania wa kundi lenu mtakuwa ni watu wa kipekee sana.
 
CCM na wapinzani uchwara Huwa na jambo moja tu in common: "maokoto."
 
Mkifanya hivyo, mtakuwa mmewapa nafasi nzuri ya kuwakwamisha zaidi. Kukusanyika kituo cha polisi watakutumia kama mnakwenda kukiteka kituo.

Tumieni akili zaidi.
Haya siyo mapambano ya kijingajinga.

Mkuu Ile haukuwa wito was kufanyia mkutano polisi. Slaa, Mwabukusi, Madeleka na wabobezi wengi ni far too smart kuto kuliona hili.

Itakuwa jemedali Mdude alimaanisha hata kama ni selo kongamano litaendelea.
 
Serikali inawatisha wenye kumbi, siyo kosa lao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…