Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakafanyie ikulu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakafanyie ikulu
....asahau?!!JPM alikataza hii hotel isibomolewe. Unafikiri sugu amesahau?
[emoji1787][emoji1787]Ma CCM hutumia maelezo hata ya kijinga kutusambaratisha. Usishangae kuyakuta yakitega kunguru hata kwa maharage makavu.
Hela za Diaspora zimepata walaji ni kwanini wasifanye mkutano wa hadhara ambao hauhitaji kukodi kumbi za starehe.Haya basi....kibali cha mkutano hapo mbele ya Polisi Post![]()
![]()
Hivi haya mapunbavu Mwakabusi na Slaa wanaendeshwa na hili pumbavu la mapunbavu kwa jina Mdude_Nyagali ? Shame on watu wazima kuendeshwa na kijana mropokaji matusi.Wakikabiliwa na mashinikizo yenye kufanana kutokea kwa walamba asali na vibaraka zao, lile kongamano la kina Mwabukusi linazidi kutumbukiziwa nyongo.
View attachment 2771375
Hakuna ukumbi unaopatikana kufanyia shghuli hii. Kwamba heri kwenda kufanyia kongamano hili polisi kwa sababu vyama vya upinzani vimewakomalia?
Kwamba kwa vile ruzuku au ubunge si vipaumbele vyetu pana baina yetu tumeapa kupambana na kina Slaa, Mwabukusi, Mdude na wenzao hadi wa wakwame tu?
Beberu anao ujumbe murua kwenu:
"Shame on you!"
[emoji1787][emoji1787]Hela za Diaspora zimepata walaji ni kwanini wasifanye mkutano wa hadhara ambao hauhitaji kukodi kumbi za starehe.
[emoji1787][emoji1787]Hela za Diaspora zimepata walaji ni kwanini wasifanye mkutano wa hadhara ambao hauhitaji kukodi kumbi za starehe.
Mwambukusi na Dr.Slaa wanashangaza sana.....[emoji1787][emoji1787]Hivi haya mapunbavu Mwakabusi na Slaa wanaendeshwa na hili pumbavu la mapunbavu kwa jina Mdude_Nyagali ? Shame on watu wazima kuendeshwa na kijana mropokaji matusi.
Waambieni kuwa Watanzania hatutaki ujinga wenu. Kama hamna la kufanya sisi tuko busy tunachungulia fursa
Mkifanya hivyo, mtakuwa mmewapa nafasi nzuri ya kuwakwamisha zaidi. Kukusanyika kituo cha polisi watakutumia kama mnakwenda kukiteka kituo.Wakikabiliwa na mashinikizo yenye kufanana kutokea kwa walamba asali na vibaraka zao, lile kongamano la kina Mwabukusi linazidi kutumbukiziwa nyongo.
View attachment 2771375
Hakuna ukumbi unaopatikana kufanyia shghuli hii. Kwamba heri kwenda kufanyia kongamano hili polisi kwa sababu vyama vya upinzani vimewakomalia?
Kwamba kwa vile ruzuku au ubunge si vipaumbele vyetu pana baina yetu tumeapa kupambana na kina Slaa, Mwabukusi, Mdude na wenzao hadi wa wakwame tu?
Beberu anao ujumbe murua kwenu:
"Shame on you!"
Hahahah nimecheka 😂😂😂 et mmeenda kukiteka kituo cha polisi 😂😂😂😂Mkifanya hivyo, mtakuwa mmewapa nafasi nzuri ya kuwakwamisha zaidi. Kukusanyika kituo cha polisi watakutumia kama mnakwenda kukiteka kituo.
Tumieni akili zaidi.
Haya siyo mapambano ya kijingajinga.
Fursa za IGA badowewe unamatumaini nazo?Waambieni kuwa Watanzania hatutaki ujinga wenu. Kama hamna la kufanya sisi tuko busy tunachungulia fursa
Hivi haya mapunbavu Mwakabusi na Slaa wanaendeshwa na hili pumbavu la mapunbavu kwa jina Mdude_Nyagali ? Shame on watu wazima kuendeshwa na kijana mropokaji matusi.
Waambieni kuwa Watanzania hatutaki ujinga wenu. Kama hamna la kufanya sisi tuko busy tunachungulia fursa
Mkifanya hivyo, mtakuwa mmewapa nafasi nzuri ya kuwakwamisha zaidi. Kukusanyika kituo cha polisi watakutumia kama mnakwenda kukiteka kituo.
Tumieni akili zaidi.
Haya siyo mapambano ya kijingajinga.
UFIPANILumumba?
si wana ufipani hawa au?
si wana ufipani hawa au?