Mdude: Tutafanyia kongamano kituo cha polisi

Wakikabiliwa na mashinikizo yenye kufanana kutokea kwa walamba asali na vibaraka zao, lile kongamano la kina Mwabukusi linazidi kutumbukiziwa nyongo.

View attachment 2771375

Hakuna ukumbi unaopatikana kufanyia shghuli hii. Kwamba heri kwenda kufanyia kongamano hili polisi kwa sababu vyama vya upinzani vimewakomalia?

Kwamba kwa vile ruzuku au ubunge si vipaumbele vyetu pana baina yetu tumeapa kupambana na kina Slaa, Mwabukusi, Mdude na wenzao hadi wa wakwame tu?

Beberu anao ujumbe murua kwenu:

"Shame on you!"
Kafanyie nyumbani kwako kwani huna makazi hata chooni kafanyie nchi hii ni yetu sote usitubabaishe
 
Hii mental case ina wafuasi wa kutosha

Kama yule jamaa wa Kenya anayesema “MPAKA USIKU”
 
Hata ikulu pia kupo ndugu. Kulikoni kwenda nyumbani hali fursa bwerere zipo?

Usitubabaishe nchi ni yetu sote.
 
Hii mental case ina wafuasi wa kutosha

Kama yule jamaa wa Kenya anayesema “MPAKA USIKU”

1664543999224.jpg

Habari ndiyo hiyo.
 
Wakikabiliwa na mashinikizo yenye kufanana kutokea kwa walamba asali na vibaraka zao, lile kongamano la kina Mwabukusi linazidi kutumbukiziwa nyongo.

View attachment 2771375

Hakuna ukumbi unaopatikana kufanyia shghuli hii. Kwamba heri kwenda kufanyia kongamano hili polisi kwa sababu vyama vya upinzani vimewakomalia?

Kwamba kwa vile ruzuku au ubunge si vipaumbele vyetu pana baina yetu tumeapa kupambana na kina Slaa, Mwabukusi, Mdude na wenzao hadi wa wakwame tu?

Beberu anao ujumbe murua kwenu:

"Shame on you!"
kwanini wasifanyie barabarani? au kwenye viwanja vya wazi?
 
Huo si utakuwa mpango mwingine Sasa? Venue si huwa communicated wiki kadhaa kabla?

Ilihitajika uwezo wa kimalaika kuyabaini haya ya leo hata juzi tu.
 
[emoji1787][emoji1787]
Ya kwamba mkutano utakuwa pale katika kuta za magogoni na nyuma yake mtalindwa na makirikiri?!!

Kila la heri

Nchi yenu wote

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Huo si utakuwa mpango mwingine Sasa? Venue si huwa communicated wiki kadhaa kabla?

Ilihitajika uwezo wa kimalaika kuyabaini haya ya leo hata juzi tu.
kwahiyo wao walikuwa hawana plan B? kweli unategemea polisi wa Tanzania watakukubalia icho kitu kirahisi tu?
 
Plan B au hata C kumbe inawasilishwa je kwa watakaokuwa wajumbe?
 
Mungu ?!!! [emoji23][emoji1787][emoji1787]

Acha DELUSION komredi ha ha ha

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nilisema mambo mengi kipindi cha mwendazake ,wengi walisema kama wewe, that's nasema silazimishi mtu , hutaki au wataka shauri zenu, hamnilipi ,

Kipande kidogo tu povu, vipi nikitoa agizo zima la Mungu wangu juu ya taifa hili itakuwaje? Potelea mbali endeleeni relax, na kula maisha
 
Back
Top Bottom