Bia Ya Moto
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,227
- 2,816
Kwa dharau hii kwa wanawake eti..janamke...endelea kusota hadi uwaombe radhiSamahani mkuu,anatakiwa kuwa mkeo au janamke lolote
Leo ni siku ya 3 toka kianze kuuma..
Mbona unataka kunikandamiza mkuu
Kwaiyo hakuna namna nyengine zaidi ya kukamuliwa damuKilipoanza kuvuta vuta ilitakiwa ujichanje na kiwembe kwenye hicho kidole hata mara 5 hivi uminywe damu zitoke mdudu huyo naye anakuwa ametoka kesho unaamka vizuri tu.
Vijana waliopita JKT kwa zile kazi za kulima kushika udongo mara kwa mara wamekuwa wakipatwa sana na adha hiyo.
Hilo la kuweka kwenye uke nimewahi kusikia inasaidia pia(ila sina hakika).
Pole Chief, tafuta ndulele, ikate ivae kama pete, asubuhi hutasikia kitu tena.Salaam wanajamvi, natumaini mko salama na kwa wale mliokatika mfungo, Mungu akawaongezee palipo pungua.
Wakuu mwenzenu yamenifika, kidole changu cha kati mkono wa kulia kimevimba hatari. Kinauma mno yaani hakukaliki, hakulaliki. Najihisi mnyonge, nimekosa tumaini.
Nimeweka mafuta ya taa, nimepaka Colgate, maji ya betri, vitunguu swaumu, maji ya moto, lakini wapi? Kuna watu wananiambia nisichokonoe wala nisiende hospitali.
Kama kuna aliewahi kuumwa na akapona, naomba msaada wake. Nimetingwa ndugu zangu. Nauona moto mpaka nmewaza isije kuwa kansa, nka-kate kidole.
Ndio hizo ziliwafanya waishi kabla ya ujio wa hospitali na waliishi vizuri tu jiulize kabla ya ujio wa wageni kwani magonjwa kama marelia hayakuwepo au gono na kaswende ? Jibu yalikuwepo ila walikuwa wanatibiwa na dawa hizi hizi za asili ambazo leo unazidharauNenda hospitali, tiba za asili na hizo nyingine za kufikirika ilikuwa ni 80's huko.
WANAWAKE WOTE POPOTE MLIPO...Kwa dharau hii kwa wanawake eti..janamke...endelea kusota hadi uwaombe radhi
Paka kutwa mara 2 mwezi tu umepona na mkucha mbaya utaondoka itakuja kucha mpya hutaki endelea kujiuliza,Shukran sana
Huu ndio uungwana mkuu.WANAWAKE WOTE POPOTE MLIPO...
nichukue nafasi kuomba msamaha unajua nataypu kwa kutumia voice kwahiyo kuna baadhi ya maneno hayaji kama inavyotakiwa..
naombeni mnisamehe kwa kuteleza,hata mimi sijakamilika..
pia kama kuna yoyote amekerwa na ile kauli anisamehe sana