Mdudu wa kidole, natamani kukata kidole

Mdudu wa kidole, natamani kukata kidole

Kilipoanza kuvuta vuta ilitakiwa ujichanje na kiwembe kwenye hicho kidole hata mara 5 hivi uminywe damu zitoke mdudu huyo naye anakuwa ametoka kesho unaamka vizuri tu.

Vijana waliopita JKT kwa zile kazi za kulima kushika udongo mara kwa mara wamekuwa wakipatwa sana na adha hiyo.

Hilo la kuweka kwenye uke nimewahi kusikia inasaidia pia(ila sina hakika).
 
Kwaiyo hakuna namna nyengine zaidi ya kukamuliwa damu
 
Dawa karibu zote zilizotajwa katika huu mjadala nilishatumia kipindi naumwa kidole kasoro bangi na K hizo ni ngeni kwangu lakini kiutalaamu ukienda hospitali utapewa iodine
 
Inauma hiyo niliwah umwa nikiwa mdogo mambo ya kuchezea mchanga inauma si mchezooo
 
Salaam wanajamvi, natumaini mko salama na kwa wale mliokatika mfungo, Mungu akawaongezee palipo pungua.

Wakuu mwenzenu yamenifika, kidole changu cha kati mkono wa kulia kimevimba hatari. Kinauma mno yaani hakukaliki, hakulaliki. Najihisi mnyonge, nimekosa tumaini.

Nimeweka mafuta ya taa, nimepaka Colgate, maji ya betri, vitunguu swaumu, maji ya moto, lakini wapi? Kuna watu wananiambia nisichokonoe wala nisiende hospitali.

Kama kuna aliewahi kuumwa na akapona, naomba msaada wake. Nimetingwa ndugu zangu. Nauona moto mpaka nmewaza isije kuwa kansa, nka-kate kidole.
Pole Chief, tafuta ndulele, ikate ivae kama pete, asubuhi hutasikia kitu tena.
 
Nenda hospitali, tiba za asili na hizo nyingine za kufikirika ilikuwa ni 80's huko.
Ndio hizo ziliwafanya waishi kabla ya ujio wa hospitali na waliishi vizuri tu jiulize kabla ya ujio wa wageni kwani magonjwa kama marelia hayakuwepo au gono na kaswende ? Jibu yalikuwepo ila walikuwa wanatibiwa na dawa hizi hizi za asili ambazo leo unazidharau
 
Kwa dharau hii kwa wanawake eti..janamke...endelea kusota hadi uwaombe radhi
WANAWAKE WOTE POPOTE MLIPO...
nichukue nafasi kuomba msamaha unajua nataypu kwa kutumia voice kwahiyo kuna baadhi ya maneno hayaji kama inavyotakiwa..
naombeni mnisamehe kwa kuteleza,hata mimi sijakamilika..

pia kama kuna yoyote amekerwa na ile kauli anisamehe sana
 
Mkuu Kwa kutuliza maumivu , endapo upo mjini nenda hospital waambie wakuchome sindano ya ganzi wakati ukiitafta kesho. Dawa Kwa maana ya dawa ni ya kubahatisha. Hakuna dawa utasema ndio imekuponya mkuu
 
Nimesoma thread ila nilipofika kwenye "kidole cha kati" nimeanza kucheka sijui kwanini. Hahahahahaha
 
Shukran sana
Paka kutwa mara 2 mwezi tu umepona na mkucha mbaya utaondoka itakuja kucha mpya hutaki endelea kujiuliza,

Angalizo: usivae Tena viatu vya kubana hakikisha kiatu unachovaa hakibani kucha kule mbele kuwe na nafasi kubwa kucha kuwa zinaelea kwenye kiatu yaan km size unavaa 40 basi nunua kiatu namba 41/42 uvae usivae kiatu kinakubana kamwe kuanzia sasa
Screenshot_20230327-233430.png
 
WANAWAKE WOTE POPOTE MLIPO...
nichukue nafasi kuomba msamaha unajua nataypu kwa kutumia voice kwahiyo kuna baadhi ya maneno hayaji kama inavyotakiwa..
naombeni mnisamehe kwa kuteleza,hata mimi sijakamilika..

pia kama kuna yoyote amekerwa na ile kauli anisamehe sana
Huu ndio uungwana mkuu.
Nakutakia uponyaji wa haraka
 
Back
Top Bottom