Mdudu wa kidole, natamani kukata kidole

Bado umejitia upofu huelewi, watu walishahangaika huko sasa kuna wataalamu na dawa. Wewe nakupa ushauri unataka tena kunirudisha wakati uliopita. Haya katumie hayo mafuta ya taa + ndulele + majani ya moshi huku ukitumbukiza kidole ukeni.
 
Dawa karibu zote zilizotajwa katika huu mjadala nilishatumia kipindi naumwa kidole kasoro bangi na K hizo ni ngeni kwangu lakini kiutalaamu ukienda hospitali utapewa iodine
Na hakuna iliyokuponya zaidi ya hyo ayodini
 
Mkuu punguza jazba na matumizi yake je..
Napaka nje au nachana kidonda?
Unapaka kwenye kidonda na unafunga na bandage hii dawa kazi yake ni kukausha hicho kidonda na kukufanyia upone pia inasaidia kuua bakteria waliopo hapo kwenye kidonda, ingawa inauma hivyo itabidi ununue na dawa za maumivu
 
12yrs back nilipata hyo shda, maza akawa ananipa pain killers tu mpaka usaha ulipojaa, akanunua surgical blade, usol, pamba, gloves na vingine nimesahau, kilichofata hapo nilinena kwa lugha. Sitausahau usiku ule. ENDELEA KUPUMZIKA KWA AMANI MAMA YANGU!
 
Inauma hiyo niliwah umwa nikiwa mdogo mambo ya kuchezea mchanga inauma si mchezooo
Bora ulivokua mdogo,sio uumwe na ukubwa huu dah utajuta
 
Pole Chief, tafuta ndulele, ikate ivae kama pete, asubuhi hutasikia kitu tena.
Mkuu ndulele nimevaa toka jana usiku lakini kazi bado imekua ngumu
 
Mkuu Kwa kutuliza maumivu , endapo upo mjini nenda hospital waambie wakuchome sindano ya ganzi wakati ukiitafta kesho. Dawa Kwa maana ya dawa ni ya kubahatisha. Hakuna dawa utasema ndio imekuponya mkuu
Kweli maana kama ndulele wameniambia wengi ila imegonga mwamba
 
Huyo Mdudu Anauma Bhalaa, Tumia Azuma Anapotea Na Hatarudi Tena Hata Majipu
 
Unapaka kwenye kidonda na unafunga na bandage hii dawa kazi yake ni kukausha hicho kidonda na kukufanyia upone pia inasaidia kuua bakteria waliopo hapo kwenye kidonda, ingawa inauma hivyo itabidi ununue na dawa za maumivu
Pamoja mkuu
 
Kifo kama ibada hatuwezi kulaumu,mungu akishapanga hutekeleza majukumu..
 
Tafuta ndulele uvalishe hapo au kama una mke chomeka kwenye K utanishukuru baadae.
 
Salaam wanajamvi, natumaini mko salama na kwa wale mliokatika mfungo, Mungu akawaongezee palipo pungua...
Hili tatizo dogo sana,watu wengi pamoja na wewe muhanga huwa mnateseka kwasababu yakuhangaika na dawa zisizofaa.

Siku nyingine ukiona tu hii hali inakuanza meza ampiclox tatizo litakua limeishia hapo,ukiwahi mapema hutapata hata kidonda.

Japo umechelewa meza ampiclox utapona haraka.
Pole,
Thnx.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…