Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Bado umejitia upofu huelewi, watu walishahangaika huko sasa kuna wataalamu na dawa. Wewe nakupa ushauri unataka tena kunirudisha wakati uliopita. Haya katumie hayo mafuta ya taa + ndulele + majani ya moshi huku ukitumbukiza kidole ukeni.Ndio hizo ziliwafanya waishi kabla ya ujio wa hospitali na waliishi vizuri tu jiulize kabla ya ujio wa wageni kwani magonjwa kama marelia hayakuwepo au gono na kaswende ? Jibu yalikuwepo ila walikuwa wanatibiwa na dawa hizi hizi za asili ambazo leo unazidharau