Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Reli ya kwanza ya umeme East and central africa hongera Tanzania, Misingi ya amani na umoja aliyoweka Mwl nyerere sasa imeanza kuota matunda, wengi walimcheka eti anapoteza wakati na siasa za kuondoa ukabila na ubepari tanzania eti heri angejenga magorofa, Leo wao wao wanaisoma namba