Kazini kwake kuna kazi. Ila bado atacheza tu maana msongamano wa mechi sio mchezo.Ngao ya jamii mechi 2,klabu bingwa pamoja ligi kuu dhidi KMC amefanya mabadiliko kila eneo la isipokuwa kwa full back right YAO YAO hii inamaanisha Kibwana shomari anayo kazi ya kufanya kuanza katika kikosi cha kwanza.
Kibwana shomari ni mchezaji mpambanaji sana lakini mpinzani wake ni zaidi.
Msimu uliopita kibwana kuna wakati alitumika left back lakini msimu huu nako kuna ushindani wa watu 3,Farid musa fantastic.
Aahaaaa,dahHilo halina shaka atacheza na akipata nafasi atajituma zaidi mpka kocha ajiulize kwaanini nimuweke nje