Mechi 4 za kimashindano Migual Gamond amebadilisha nafasi zote wachezaji isipokuwa kwa Otola kwasi Yao(Jeshi)

Wang Shu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
2,562
Reaction score
3,715
Ngao ya jamii mechi 2,klabu bingwa pamoja ligi kuu dhidi KMC amefanya mabadiliko kila eneo la isipokuwa kwa full back right YAO YAO hii inamaanisha Kibwana shomari anayo kazi ya kufanya kuanza katika kikosi cha kwanza.

Kibwana shomari ni mchezaji mpambanaji sana lakini mpinzani wake ni zaidi.

Msimu uliopita kibwana kuna wakati alitumika left back lakini msimu huu nako kuna ushindani wa watu 3,Farid musa fantastic.
 
Kazini kwake kuna kazi. Ila bado atacheza tu maana msongamano wa mechi sio mchezo.
 
MECHI YA SIMBA VP
[emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Hili Yoo Yoo (Yao Yao) a.k.a Jeshi a.k.a Konde Boy ni lichezaji moja hatari sana.
Itabidi mashabiki wa Yanga walikamate kwa nguvu walikague kama linatumia 'power bank' kama ya Medi Kagere.
Maana siku akivuliwa kinguvu anaweza potea mazima kama Kagere.

Yanga wamefanya ujambazi wa wazi wazi dhidi ya ASSEC kwa kuwapora huyu mchezaji.
Huu ni uhujumu uchumi kabisa. FIFA wafanye uchunguzi.
 
Back
Top Bottom