Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
We jamaa akili huna kabisa umefanya nimeonekana chizi hapa nnapopata lunch[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah, yaani nilivoisoma hii jana nilicheka kinyama, mbaya zaidi ilikua night kali,Hahahaha jamaa hata kama anajifunza kuongopa aisee sio kwa namna hii kwamba mpaka watu wakalala uwanjani.
Wengi hamuijui hii,
MECHI ILIYOPIGWA MUDA MREFU ZAIDI DUNIANI,
Hii ilikua mwaka 1942 fainali ya AMERICAN CUP ENZI HIZO, kati ya ARGENTINA na MAREKANI
Kipute kilipigwa dk 90 wanaume wakatoka mbili kwa mbili, zikawekwa 30 wanaume wakamaliza hivyo hivyo.
Refa KOLLAR DE QUISOR akasema twendeni kwenye matuta, kwenye 5 za kwanza wakatoka 4 kwa 4 akawaambia wapige zingine wakatoka 5 kwa 5, basi wakapigiana penalty karibu mia wakatoa sare.
Kwa kuwa walikua wamechoka akawaomba wapumzike wakaenda mapumzko kurudi mambo yakaenda mpaka penalty mia zingine ikawa draw, zikapigwa hamsini zingne ikawa sare na watu njaa zinauma sana, basi bwana KOILLAR akawaambia wakapate msosi kwenye mgawaha wa karibu.
Waliporudi ikapigwa penalt mpaka karibu na kesho na watu wakaambiwa laleni uwanjani, asubuhi zikapigwa tena kitu sare na ikawa hivo kwa siku 4 ndipo ikarushwa shilingi bado ikatua imesimama zaid ya mara kumi na 9, refa akawaomba wakate kombe nusu kwa nusu
By Deadbody
asubuhi zikapigwa tena kitu sare na ikawa hivo kwa siku 4 ndipo ikarushwa shilingi bado ikatua imesimama zaid ya mara kumi na 9, refa