Mechi kali ligi kuu India kati ya wahindu na waislamu siyo ya kukosa

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
2,887
Reaction score
6,657
Mechi kati ya timu za mpira kwenye ligi kuu India Mohammedan SC vs Mumbai city FC.

Ni mechi kali kwenye ligi kuu India inayowakutanisha Kobaz (Mohammedan SC) na wahindu (Mumbai City)

Unaambiwa kobaz wa mohammedan SC wabishi wanacheza rafu za hatarii nakupiga ngwara balaa.

Waamuzi watakuwa na kazi kubwa sana.

Mechi itaanza muda siyo mrefu saa 12 kamili dakika mbili zimebaki.

Niko hapa sofani naisbiria kwa hamu.

Nita wa update matokeo.

hydroxo

adriz de mbusii
 
Lete feedback
 
Screenshot_20260515_191823_Sofascore.jpg

Mechi imekuwa suspended aisee kobaz kashakula 3 mtungi
 
Back
Top Bottom