Mambo yao waachie wenyeweKobaz wameshalambwa 2-0
Kwanini mkuu. Au na wewe ni kobazi FC π πMimi nipo upande wa KOBAZI.
Duh! Hiko ndo kitu pekee nachosubilia, nipne kama kobazi hawajaingia na paru humo ndaniBado kumepoa asee ni half time ππππ€£
Lete feedbackMechi kati ya timu za mpira kwenye ligi kuu India Mohammedan SC vs Mumbai city FC.
Ni mechi kali kwenye ligi kuu India inayowakutanisha Kobaz (Mohammedan SC) na wahindu (Mumbai City)
Unaambiwa kobaz wa mohammedan SC wabishi wanacheza rafu za hatarii nakupiga ngwara balaa.
Waamuzi watakuwa na kazi kubwa sana.
Mechi itaanza muda siyo mrefu saa 12 kamili dakika mbili zimebaki.
Niko hapa sofani naisbiria kwa hamu.
Nita wa update matokeo.
hydroxo
adriz de mbusii
Kwanini mkuu. Au na wewe ni kobazi FC π π