Mechi kati ya Al ahly Vs Raja na CR Beouilzdad Vs Mamelody

Mechi kati ya Al ahly Vs Raja na CR Beouilzdad Vs Mamelody

Sultan MackJoe Khalifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2022
Posts
6,782
Reaction score
14,148
Vilabu vikubwa vyenye hadhi Africa vimecheza siku ya leo michuano ya CAFCL.

FT:Kabyile 0-1 Esparance.
FT:Simba 1-0 Wydad AC.

Mechi zinazoendelea kuchezwa muda huu ni Al ahly Vs Raja Casablanca.
CR beoulzdad Vs Mamelody.

matokeo baada ya mechi zote kuchezwa👇

IMG-20230423-WA0006.jpg
 
Naangalia mpira wa Raja na Al Ahly jamaa wako speed mpira haupoi. Dk 45 zinakatika kama upepo!
 
Huu mpira wanaopiga al ahly ni hatari , kwa huu mpira wanaopiga Al ahly ingekua team za kibongo wangekua washapigwa hata 3.

Hawa jamaa wanashambulia hatari sema raja wapo makini sana kwenye box kumlinda kipa asifikiwe
 
Back
Top Bottom