Mechi kati ya Al ahly Vs Raja na CR Beouilzdad Vs Mamelody

Mechi kati ya Al ahly Vs Raja na CR Beouilzdad Vs Mamelody

dk ya 51 Shalulile mshambuliaji hatari kwa sasa Africa anaweka chuma cha 3.
Bouilzdad 1-3 Mamelody.
 
Shalulile anapiga goli lake la pili hapa...goli lake la 6 ktka mashindano

Cr belouizdad 1-3 Mamelodi

51' Shalulile
kuna mwehu uzi flani aliwahi mfananisha chama na huyo mwamba nikaona kuna watu wamerogwa walah
 
Kama ndugu zetu Mamelodi wameweza kumpulizia pumzi ya moto mwarabu akiwa kwake basi bila ya shaka Simba atashinda ugenini dhidi ya Wydad inshAllah
mchezaji 1 wa mamelod ana thamani ya kikosi kizima cha nyau, alafu unataka fananisha ushindi

umejaza wachezaji wa mia mia ukashinde kwa wydad unaota
 
Back
Top Bottom