Mechi kati ya Al ahly Vs Raja na CR Beouilzdad Vs Mamelody

Mechi kati ya Al ahly Vs Raja na CR Beouilzdad Vs Mamelody

Huyu Belouizdad hamna cha nyumban wala nn kawekwa vyuma 3 ana henyeshwa
 
Bora Mungu alituepusha na Mamelod, wameshapiga mwarabu ugenini 4 kwa 1
 
Hili goli la 2 la Al Ahly mfungaji ali unawa mkono na refa hakuona lkn kaita kati ..

Ingetokea bongo hii wale wachambuzi hasa hasa wa wachafu fm hasa hasa yule george lazi + edo wange shikia bango.mnooo
 
Raja na Wydad ni watani wa jadi na wote leo wamecheza away na wote wamepasuka.

Simba kampasua kaka mtu Wydad bingwa mtetezi wa CAFCL ambae kwenye ligi ya Moroco anashika nafasi ya pili.
Al ahly kampasua mdogo mtu Raja ambae kwenye msimamo wa ligi ya Moroco anashika nafasi ya nne.
wakikutana home airport wanarudi awachekani hawa.
 
Hili goli la 2 la Al Ahly mfungaji ali unawa mkono na refa hakuona lkn kaita kati ..

Ingetokea bongo hii wale wachambuzi hasa hasa wa wachafu fm hasa hasa yule george lazi + edo wange shikia bango.mnooo
Na VAR ipo🤣🤣africa ni wapi??
 
Mamelodi Sundowns wenyewe wanajiita Masandawana.

Wanapenda kujulikana kama Brazil ya Africa. Kama ilivyo kwa timu ya taifa ya Brazil, wakiwa nyumbani huvaa Tshirts za njano na bukta za blue.

Wakiwa ugenini wanavaa tshirts za blue na bukta nyeupe kama ilivyo kwa timu ya taifa ya Brazil.

Wako vizuri sana ndani na nje ya uwanja!!
Sijaona kwenye michuano hii msimu huu wa kuwazuia Mamelod, tumsubiri fainali
 
Sijaona kwenye michuano hii msimu huu wa kuwazuia Mamelod, tumsubiri fainali
ndo ivyo vijana wa Motsepe ni moto.
kuna yule mapafu ya mbwa Marcelo Allende raia wa Chile dogo anapiga mido mpaka anakera.
 
Back
Top Bottom