Mechi kati ya Al ahly Vs Raja na CR Beouilzdad Vs Mamelody

Mechi kati ya Al ahly Vs Raja na CR Beouilzdad Vs Mamelody

3 za wap

ama unajumuisha na kombe la azam nasemea ligi boss wangu na timu yako mbovu
We kumbe kaizi kabisa, niletee takwimu za PL mechi kati ya Simba Sc na Yanga baada ya ile ambayo Simba Sc alishinda 1-0 (2019).

Leta hapa tuone ni lini Yanga alishinda hizo mara nyingi zaidi ya sare tu.
 
Watu mme changanyikiwa kwa akili zenu mna jilingan8sha na memelodii huo ndo ukweli nyie ni under dog tu na msha toka ijumaa sio mbar
Tumeshatoka kwenye mashindano yako uliyoandaa wewe, ile kwenye haya ya CAFCL Simba Sc bado ipo.
 
Simba bana mechi mbili (2) mfululizo tumepiga MABINGWA wa MCHONGO wawili (2)..

Vile vikatuni viwili ingekuwa ndo wao wamefanya hivyo kila muda vingepost 😂😂😂 maana walimwokota kibonde aliyepigwa mechi 5 wali - repost na re-tweet weeeee,,, timu pekee kutoka TANZANIA 🤣🤣🤣🤣
 
Kama simba sc hatuta chukua hili kombe basi mamelod wachukue kuleta heshima upande wetu huu wa kusini mwa jangwa Sahara, miamba ni miwili tu upande huu.
 
Back
Top Bottom