Mechi kati ya Al ahly Vs Raja na CR Beouilzdad Vs Mamelody

Mechi kati ya Al ahly Vs Raja na CR Beouilzdad Vs Mamelody

Akutane nae mara ngapi ili uamimi kama ana mmudu?
Al ahly wa kwenye makundi syo wa finally Sasa hata hivyo kwa utabiri Wang mamelod sundowns anaweza akakutana na waydad Casablanca/Simba halaf Al ahly anakutana na esperance tuone Moto utakavyowaka wakutane finally ndo utajua
 
Unaishi kwa kukalili endelea kukaza shingo

Kwani unaposema Mamelod anachukua ubingwa, unakuwa umesema fact au umebashiri?

Kama jinsi ulivyobashiri, mimi pia nimebashiri kwa kusema Mamelod hawezi kuwa bingwa. Kunilazimisha niamini ubashiri wako ndio "kukaza shingo" kwenyewe sasa.
 
Al ahly wa kwenye makundi syo wa finally Sasa hata hivyo kwa utabiri Wang mamelod sundowns anaweza akakutana na waydad Casablanca/Simba halaf Al ahly anakutana na esperance tuone Moto utakavyowaka wakutane finally ndo utajua
Msimu uliopita au wa juzi (sina kumbukumbu vizuri), Mamelod alikuwa moto hivihivi akampiga nyingi tu Ahly. Baadae wakakutana kwenye nusu fainali Mamelod akatolewa na haohao Ahly.
 
baada ya miaka 4 ya kuhangaika hadi leo hamuamini
Mmemfunga nini? Leta takwimu hapa kwa hyo miaka 4 au ndo kufata upepo unapovuma? Mechi zimaejaa sare Simba kawakanda mara 3 na yanga mara 4 au 5 sasa hapo ndo useme kuhangaika? Hahahahhah
 
Mashabiki wa hii team Kuna kitu wanajua sisi hatujui maana hawapoi
Halafu viwanja viko north afrika huku kwetu tuna mashamba

Mamelod, Al Ahly na Es Tunis wameshafuzu. Ni timu moja pekee ndio inayosubiriwa ya kuungana na hao.
iyo timu moja inayosubiriwa itakua kati ya Simba Vs Wydad.tusubiri tuone je'Simba atatikisa Dunia kwa kung'oa kisiki!
 
Mmemfunga nini? Leta takwimu hapa kwa hyo miaka 4 au ndo kufata upepo unapovuma? Mechi zimaejaa sare Simba kawakanda mara 3 na yanga mara 4 au 5 sasa hapo ndo useme kuhangaika? Hahahahhah
3 za wap

ama unajumuisha na kombe la azam nasemea ligi boss wangu na timu yako mbovu
 
Timu yetu ya Simba sc inatakiwa itumie sana full backs katika mashambulizi...nimecheki hizi timu za robo fainali ...huwa zinapopanda kushambulia basi fullbacks huwa ni sehemu ya mashambulizi tofauti na sisi...timu inashambulia ila utaluta kina kapombe na shabalala wapo nyuma..au full back anapewa pasi hajui wapi apige cross au v-pass...na akipiga cross utakuta amebutua tu bila kuwafikia walengwa
Umemaliza hapo ndipo simba tunachemka sana.
 
Mamelodi kashampelekea muarab pumzi ya moto, na yupo ugenini.... halafu utasikia kuna wehu wanakuambia Simba kumfunga Waydad goli moja tayari katoka....
Watu mme changanyikiwa kwa akili zenu mna jilingan8sha na memelodii huo ndo ukweli nyie ni under dog tu na msha toka ijumaa sio mbar
 
Umemaliza hapo ndipo simba tunachemka sana.
Sasa mnabeki zip za kati na viungo wa kuzuia Counter ? kama siku hizo Full back za simba zikijaribu mnachokisema mtapigwa nyingi mnoo...
 
Back
Top Bottom