Mechi kati ya Al ahly Vs Raja na CR Beouilzdad Vs Mamelody

Mechi kati ya Al ahly Vs Raja na CR Beouilzdad Vs Mamelody

Vilabu vikubwa vyenye hadhi Africa vimecheza siku ya leo michuano ya CAFCL.

FT:Kabyile 0-1 Esparance.
FT:Simba 1-0 Wydad AC.

Mechi zinazoendelea kuchezwa muda huu ni Al ahly Vs Raja Casablanca.
CR beoulzdad Vs Mamelody.

matokeo baada ya mechi zote kuchezwa[emoji116]

View attachment 2596960

Adi apo tu ishaonesha nani anaenda nusu wote walioshinda amna ane weza kupindua meza
 
Kuna mdau alileta takwimu humu.Kabla ya mechi ya juzi kuanzia 2019.simba ameshinda 2, yanga 2 sare 6.

Hii inamaanisha baada ya ushindi wa juzi.,Simba kashinda mara 3, yanga mara 2 na sare sita(katika mechi 11)
Yani hizi story za Yanga kumfunga Simba sijui zimetoka wapi..kibaya zaidi na watu wamezimeza...
 
Al ahly wa kwenye makundi syo wa finally Sasa hata hivyo kwa utabiri Wang mamelod sundowns anaweza akakutana na waydad Casablanca/Simba halaf Al ahly anakutana na esperance tuone Moto utakavyowaka wakutane finally ndo utajua
Fainali ya msimu ulio pita kapigwa
 
Back
Top Bottom