Mechi kati ya Al ahly Vs Raja na CR Beouilzdad Vs Mamelody

Game ya Al Ahly vs Raja ipo live azam tv...kupitia channel ya Zbc 2...406

Belouizdad vs mamelodi ipi live... Azam tv kupitia channel UTV ..108
 
Timu yetu ya Simba sc inatakiwa itumie sana full backs katika mashambulizi...nimecheki hizi timu za robo fainali ...huwa zinapopanda kushambulia basi fullbacks huwa ni sehemu ya mashambulizi tofauti na sisi...timu inashambulia ila utaluta kina kapombe na shabalala wapo nyuma..au full back anapewa pasi hajui wapi apige cross au v-pass...na akipiga cross utakuta amebutua tu bila kuwafikia walengwa
 
second half mbungi imeanza tuendelee kufatilia hizi game huku tukichambua nani ni nani hatua hii muhimu kuelekea nusu fainali ya mabingwa caf.
 
Timu yetu ya Simba sc inatakiwa itumie sana full backs katika mashambulizi...nimecheki hizi timu za robo fainali ...huwa zinapopanda kushambulia basi fullbacks huwa ni sehemu ya mashambulizi tofauti na sisi...timu inashambulia ila utaluta kina kapombe na shabalala wapo nyuma..au full back anapewa pasi hajui wapi apige cross au v-pass...na akipiga cross utakuta amebutua tu bila kuwafikia walengwa
hakika umenena na huo ndio mpira wa kisasa wings back wanapeleka moto kwa adui.
 
Back
Top Bottom