Mechi kati ya Al ahly Vs Raja na CR Beouilzdad Vs Mamelody

Naangalia mpira wa Raja na Al Ahly jamaa wako speed mpira haupoi. Dk 45 zinakatika kama upepo!
 
Huu mpira wanaopiga al ahly ni hatari , kwa huu mpira wanaopiga Al ahly ingekua team za kibongo wangekua washapigwa hata 3.

Hawa jamaa wanashambulia hatari sema raja wapo makini sana kwenye box kumlinda kipa asifikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…