Mechi kumi kali

Man city 6 man u 2
 
Nakumbuka hadi Barca dakika za mwisho wanasubiria mechi kuisha wakaanza kuchana nyavu..

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app

ila siku ile kwa kweli man utd walikamatika yaani hamna pakupumulia.... xavi iniesta waliendesha game watakavyo.hapo ndio unaona kweli mpira burudani sio unakaa unaangalia mpira ni kama gombania goli bwana.
 
Netherlands vs Argentina world cup 98';Ile kichwa ambayo Ortega alimvisha van der ser ilikuwa hatari

Netherlands vs Portugal work cup 2006; red cards nne mbili kilA upande,Hadi waliotolewa wakakaa pamoja wakaanza kupiga soga
arsenal vs villareal,semifinal ucl 2006 second leg,ulipiga mpira mwingi sanaa,ila Lehman kuokoa mkwaju wa pernat ya requelme ndio haitosahaulika

reading vs arsenal(7-5);what a comeback,reading ikiongoza 4-1 mpaka halftime,at 90' it was 4-4 after extra time arsenal akashinda 7-5

Korea vs Italy,Korea vs Spain world cup 2002,Italy na Spain waliotolewa huku wakilia kwa figisu zilizochezwa
 
Hiyo ya World cup Holland na Argentina haikuwa ya sayari hii
Sent using Jamii Forums mobile app
 
kongole kwako brother...
ongezea na hizi
  1. chelsea 4 - liverpool 4 (champions league)
  2. liverpool 4 - arsenal 4 (usiku wa arshavin)
  3. juventus vs man utd (champions league 1999)
  4. arsenal 2 - man utd 2 (premier league 2002)
  5. uholanzi vs Italy (euro 2000)
 
Hiyo ya World cup Holland na Argentina haikuwa ya sayari hii

Sent using Jamii Forums mobile app

Bonge moja ya game!

Fundi Dennis Bergkamp anawauwa waargentina muda wa nyongeza huko!

Bonge moja ya goli, anareceive mali vizuri, anafanya touch kama tatu tu hivi kama sikosei halafu anaweka mpira kimiani!
Anapokea mali, anaudundisha chini kumpiga chenga (ayala sijui yule) anakutana na kipa anapiga kama outer fulani hivi mpira kimiani.
 
kongole kwako brother...
ongezea na hizi
  1. chelsea 4 - liverpool 4 (champions league)
  2. liverpool 4 - arsenal 4 (usiku wa arshavin)
  3. juventus vs man utd (champions league 1999)
  4. arsenal 2 - man utd 2 (premier league 2002)
  5. uholanzi vs Italy (euro 2000)

Shukrani mkuu.
 
Denis Bergkamp alikuwa Genius

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Milan vs juve uefa final
Buyern munchen vs Valencia uefa final
Simba vs as vita
Chelsea vs Barca 2005 second leg
Depotivo vs ac Milan
Colombia vs Uruguay
Chelsea vs man u ile ya 1999
Chelsea vs buyern munchen 20012
Arsenal vs Barca uefa final
Simba vs atletico aviacao sports ya angola

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hi mechi ya kibabu fergie anatetemeka baada ya pep kumfundisha soka hahahaha
goli la tatu its david villaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ile barcelona ilikuwa kiboko
Japo Mimi Man U ila lile goli kwenye mgahawa unakwenda na chapati zako mbili unapata supu ya bure .
 
Ajax Vs Spurs (iliyochezwa Amsterdam)
PSG Vs Man U (Paris)
Barca Vs Inter (2010 zote home and away,sijawahi kuona mechi Mou alizofanikiwa kwny kupaki basi kama zile yaani hakuna cha Messi wala Xavi)
Ghana Vs Uruguay(2010Wc)
Spain Vs Uholanz(2010 WC final)
 
hi mechi ya kibabu fergie anatetemeka baada ya pep kumfundisha soka hahahaha
goli la tatu its david villaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ile barcelona ilikuwa kiboko

Sijui kama atakuja kutokea kama messi,, Messi ni gift from God,, wakina fergi, arsen Wenger, pep, pocchetino, na chelsea hawatamsahau fundi wa dunia alivyowanynyasa plus iniesta na xavi 🤣🤣
 
Naona zote ni za man u....
 
Hapo namba 9 siyo. Sio kwa mbeleko ile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
YANGA VS SIMBA
GOLI LA MORISOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOON HADI LEO NATAMBA NALO
MIKIA KIMYAAAAAAAAAAAAAAAAA
Hii mechi kwangu mm, ndiyo iliyobeba mechi zote 10 bora na kali.
1- dk 1- 12 hapa Mikia walistahili kupigwa goli 3 safi.

2- Tshitshimbi , Balama, Feisal hawa waliwakamata, Mkude, Chama, Kahata hapa kielelezo angalia rafu za kiwango cha KINESI toka kwa wachezaji wa mikia

3- dk ya 44 goli Mujarabu, mpaka kipa wa Simba Aishi Manula analithibitisha hilo.

4- ushangiliaji wa goli lile na vurugu za kurusha chupa za maji, naam ni burudani.

5-ulinganifu wa Jersey, hapa kuna tofauti kubwa hongera GSM

6- Metacha Mnata huyu alijuwa vyema kufanya kazi yake , hainitoki kichwani. Nadhani Mikia watamchukua kama BENO.

7-EEEEH BABA HARUNA NIYONZIMA kisu cha buchani kinakwisha na makali take. Fanya kazi kubwa na ya ukweli.
8- Angalia na tafakari NYONI aliumiaje umiaje? na aliumizwa na nani? ukipata jibu utajua hii ilikuwa mechi 10 ndani ya 1

9- Ditraaaaam, anadokoa mpira Wawa linapita kama Guruwe pori, Manula mpira unampiga usoni ni bahati tu.

10- wooooooo woooh PS machine ana drive kwa kasi kuelekea goli la Simba pasi kwa Kaseke anaachia mkwaju unakula nguzo.

Ditram tayari aliamini ni goli anasubiri kushangilia tu. Bahati yao .

Mh JPM, rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania - ALIKUWEPO

Mh AHMAD AHMAD - rais wa Caf ALIKUWEPO

MH WALACE KARIA- rais wa TFF ALIKUWEPO.

mechi ilichezeshwa na Marefaree 6.

Jamani Hii ilikuwa 1(10)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…