Mechi kumi kali

Brazil vs France 2004 au 2005 Fifa ilikuwa inaazimisha miaka sikumbuki mingapi baada ya kuanzishwa mechi ilianza wakiwa wamevaa jezi za zamani lilipigwa bonge mechi!
Huku chogo kule Dilima
Huku Zizu kule.Dinho
Huku Ribert pires kule Ricardo Kakaa
Na Majembe kibao those days!
 
Yes, alianza kukosa kanu ndio akaja kukosa ikpeba.

Enzi hizo ilikuwa nigeria, france na arsenal huniambii kitu.

Nigeria walinitoa machozi game waliyopigwa na Denmark 4 - 1 WC France 98, nilikuwa nawapenda sana jamaa.

Mwanzo nilikuwa Brazili, ila France nilikuja kuwaelewa kwa sababu ya kuwa na weusi wengi, hivyo 2000 kwenye Euro nilikuwa ni France.
 
Nakumbuka hadi Barca dakika za mwisho wanasubiria mechi kuisha wakaanza kuchana nyavu..

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Liverpool Vs Chelsea(1-1)...Msimu wa Mwaka jana. Daniel Sturridge anasawazisha GOLI dkka ya 93 anapiga 90ยบ(degree)... hii Game nakbuka mpira ulipigwaa Sanaaaa! KLOP Akawa anacheka tU akamfata Masigara wa chelsea Akamuliza "Are u Enjoying"....hakika mpira Ulipigwa Sanaa.....
 
We jamaa ni shabiki wa man U

komesha korona
 
World cup 2006
Ufaransa na Brazil : huyu Zidane hatari aisee ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ ๐Ÿ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ