bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,530
- 20,988
PopomaGenta ndio nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PopomaGenta ndio nani?
Basi simjuiPopoma
Si kweliView attachment 2748859
Kuna mashabiki watakuwa bado wapo njiani kwenda
![]()
Young Africans Sport Club vs Al-Merrikh live score, H2H and lineups | Sofascore
Young Africans Sport Club Al-Merrikh live score (and video online live stream) starts on 30 Sept 2023 at 16:00 UTC time in CAF Champions League, Qualification, Africa.www.sofascore.com
Bus ni nini? zile tuna ita school bus hua zina ukubwa gani? ndio maana tunaitwa mbumbumbu kwa kujitakia au kwako bus mpaka iwe KimbinyikoBasi simjui
Kwasababu umesema upo Kigali ebu tusaidie kuondoa utata.
Yanga wametumia usafiri gani kubeba mashabiki kati ya bus na costa?
Yaani shabiki atoe hela ya safari alafu ashindwe kutoa hela ya kiingilio?
Hapa ndio hua nakuvua vyeo
Ao jamaa bado hawajasema watasema mengi, kwasasa button ya kiki msemaji wa Yanga ameizima kitu ambacho hawakutarajia.Bus ni nini? zile tuna ita school bus hua zina ukubwa gani? ndio maana tunaitwa mbumbumbu kwa kujitakia au kwako bus mpaka iwe Kimbinyiko
Mbona na mimi naona iko kesho na natumia app tofauti na hiyo ya mtoa mada?Itakuwa ni hiyo site tu imejichanganya mbona ratiba naiona ipo vilevile View attachment 2748872
Ingia hapa uthibitishe TotalEnergies CAF Champions League second preliminary round gets underway on FridayMbona na mimi naona iko kesho na natumia app tofauti na hiyo ya mtoa mada?
Sawa, lakini mwandishi wa hii habari pia hayuko makini.Ingia hapa uthibitishe TotalEnergies CAF Champions League second preliminary round gets underway on Friday
Game ni jumamosi
Hizo costa timu ya simba iliwahi tumia kubebea wachezaji sasa bora kwa Yanga hizo costa zinatumika kubebea mashabikiBasi simjui
Kwasababu umesema upo Kigali ebu tusaidie kuondoa utata.
Yanga wametumia usafiri gani kubeba mashabiki kati ya bus na costa?
Unachokizungumzia wewe ni mazoea na sio uhalisia.Bus ni nini? zile hua tuna ita school bus hua zina ukubwa gani? ndio maana tunaitwa mbumbumbu kwa kujitakia
Mkuu uko hapo Nyamirambo?Hizo habari hua mnazitoa wapi? tickets zisha anza kuuzwa zinapanda bei kwa mfumo gani? mimi nipo Kigali au zimepanda bei huko Dar?
Subiri kesho itachezwa kwenye app yakoMbona na mimi naona iko kesho na natumia app tofauti na hiyo ya mtoa mada?
Noah huwezi iitaba bus ila kuanzia Hiace mpka Yutong zote ni bus tofauti ni capacityUnachokizungumzia wewe ni mazoea na sio uhalisia.
Huku mtaani hadi Noah zinabeba wanafunzi na zimeandikwa school bus.
School bus ni neno ambalo linatumika kama utambulisho tu ni kama oil station zilivyozoeleka kuitwa sheli.
Noah ni school bus huku na zinafanya kazi ile ile ya kubeba wanafunziNoah huwezi iitaba bus ila kuanzia Hiace mpka Yutong zote ni bus tofauti ni capacity