Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

picque ana agenda gani na hizi nyavu?
 
Tatizo la timu za Barca na R.Madrid zinafukuza kazi makocha hata wakibeba makombe. Sitashangaa kuona kocha wa Barca Luis Enrique akiondoka baada ya kubeba treble msimu huu.
 
Ratiba ya EPL itatoka Jumatano 17 June 2015. Kaeni mkao wa kula wapenzi wenzangu wa EPL
 
LOL Thomas Vermalean na yeye anadiriki kupokea medal....Nadhani jamaa hajacheza hata mechi moja tangu ahamie Barca

Acha masikhara kashacheza...

Hata hivyo huyu jamaa alinunuliwa na Barca akiwa majeruhi akawekwa nje atibiwe vizuri kabla ya kuanza kucheza...
 
For this season I was always a loser hahhaaaaaaa...

1.Man u sikuwepo eufa, mbaya zaidi ameshika nafasi ya 4 , tutaanzia kwenye makundi.

2. nikasaport majirani zetu man city wakatolewa.

3. Nikapeleka moyo kwa madrid .naye akapigwa nje.

4.Nikaamia kwa Juventus alomtoa Madrid ..
naye Leo kachezea....

Tukutane copa america...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…