Fainali na utoaji wa zawadi bila ya uwepo wa Sepp Blatter!!
Mbona kama nimemuona au macho yangu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fainali na utoaji wa zawadi bila ya uwepo wa Sepp Blatter!!
Ngoja tuone kama fundi Benitez atajibu mapigo mwakani
Mbona kama nimemuona au macho yangu?
picque ana agenda gani na hizi nyavu?
Jamaa kila wakibeba kombe huwa anaondoka na nyavu. Itakuwa ni zile habits za ajabu ajabu za wazungu.
Fainali na utoaji wa zawadi bila ya uwepo wa Sepp Blatter!!
LOL Thomas Vermalean na yeye anadiriki kupokea medal....Nadhani jamaa hajacheza hata mechi moja tangu ahamie Barca
Jamaa kila wakibeba kombe huwa anaondoka na nyavu. Itakuwa ni zile habits za ajabu ajabu za wazungu.
I love Jesus
Fainali na utoaji wa zawadi bila ya uwepo wa Sepp Blatter!!
Timu bora imepoteza mechi! Hongereni barca!