Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Juve kocha mwehu kweli,unawekaje mabeki watatu mbele ya neymar,Suarez na messi,inesta.
Kocha bogus kwelu
 
Wew mchumba wangu wew nimekuoa jana tuu leo unazurura..
Hahahaaaaaaaaa usinikumbushe maumivu...
Mimi nilikuambia juve kumfunga barca ni ngumu..ukajidai kichwa ngumu una sasa...
Nilikuambia kabisa usifanye biashara na juve atakupa hasara wew ukaendekeza ushabiki hukuwazia mtaji wako...
Pole sana muchumba ya cute b
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha hizi bangi za kuchanganya na ugoro mbaya sana
 
Sawa buanaa my mchumba

Sikupatii picha ulivyo mudogo kama piriton hahahaha ngoja nikusaidie...... PNC 1 hela ipo? Siyo unamuita tu ndugu yangu mchumba hapa ni cash tu, Yale magoli hayatoshi kumchukua.........
 
Last edited by a moderator:
Sikupatii picha ulivyo mudogo kama piriton hahahaha ngoja nikusaidie...... PNC 1 hela ipo? Siyo unamuita tu ndugu yangu mchumba hapa ni cash tu, Yale magoli hayatoshi kumchukua.........

Bora mamy unitetee daaah... jana tulivyotoka kuangalia mtanange tukafungwa saa ngap njian tunarudi huyu PNC 1 anaanza kunivuta njiani eti anataka tufanye ndoa daah nilikomajeee
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha tumewaoa waxhezaj wote wa juve sembuse yeye peke yake MIE NINA MABILION YALE YA UEFA TULIYOCHUKUA JANA
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Last edited by a moderator:

Pole sana...... Uwe unatuliza akili zako unapochagua mchepuko usikurupuke.....
 
Bora mamy unitetee daaah... jana tulivyotoka kuangalia mtanange tukafungwa saa ngap njian tunarudi huyu PNC 1 anaanza kunivuta njiani eti anataka tufanye ndoa daah nilikomajeee

Hahahaha!! Ikawaje sasa?....
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha tumewaoa waxhezaj wote wa juve sembuse yeye peke yake MIE NINA MABILION YALE YA UEFA TULIYOCHUKUA JANA

Hahahahahahaha!! Hayatoshi bana anataka kumiliki vyote si unajua tena cute b mtoto wa OT tajiri wa England nzima sasa hajazoea shida,tafadhali usije mtesa wangu......
 
Last edited by a moderator:
Jana c nikatoka nikaanza kumsaka CUTE_b mana nlimpa jukumu mapemaaa, ila najua alikuja kujificha kwako

Ahha!! Jana ilikuwa shida PNC 1 king'ng'anizi kama nini akataka kumvalisha Pete kabisa ikabidi akimbie sasa cute b kavaaa high heels zake jamani mngemvunja miguu loh....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…