Mkali popote
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 633
- 340
Nani mfungaji mkuu?
Suarez mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani mfungaji mkuu?
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha hizi bangi za kuchanganya na ugoro mbaya sanaWew mchumba wangu wew nimekuoa jana tuu leo unazurura..
Hahahaaaaaaaaa usinikumbushe maumivu...
Mimi nilikuambia juve kumfunga barca ni ngumu..ukajidai kichwa ngumu una sasa...
Nilikuambia kabisa usifanye biashara na juve atakupa hasara wew ukaendekeza ushabiki hukuwazia mtaji wako...
Pole sana muchumba ya cute b
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha hizi bangi za kuchanganya na ugoro mbaya sana
Ngoja tuone kama fundi Benitez atajibu mapigo mwakani
Hahahaaaaaaa.....
Mambo vipi lakini mkuu?.
iko poa kabsa mzee wa man u fanyeni mpango msitolewe play off maana tumewamis
Sikupatii picha ulivyo mudogo kama piriton hahahaha ngoja nikusaidie...... PNC 1 hela ipo? Siyo unamuita tu ndugu yangu mchumba hapa ni cash tu, Yale magoli hayatoshi kumchukua.........
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha tumewaoa waxhezaj wote wa juve sembuse yeye peke yake MIE NINA MABILION YALE YA UEFA TULIYOCHUKUA JANASikupatii picha ulivyo mudogo kama piriton hahahaha ngoja nikusaidie...... PNC 1 hela ipo? Siyo unamuita tu ndugu yangu mchumba hapa ni cash tu, Yale magoli hayatoshi kumchukua.........
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haBora mamy unitetee daaah... jana tulivyotoka kuangalia mtanange tukafungwa saa ngap njian tunarudi huyu PNC 1 anaanza kunivuta njiani eti anataka tufanye ndoa daah nilikomajeee
For this season I was always a loser hahhaaaaaaa...
1.Man u sikuwepo eufa, mbaya zaidi ameshika nafasi ya 4 , tutaanzia kwenye makundi.
2. nikasaport majirani zetu man city wakatolewa.
3. Nikapeleka moyo kwa madrid .naye akapigwa nje.
4.Nikaamia kwa Juventus alomtoa Madrid ..
naye Leo kachezea....
Tukutane copa america...
Kwahyo siku UEFA CL imekuwa league ya spain kushindaniwa na timu mbili tu za spain:banghead:😎
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha tumewaoa waxhezaj wote wa juve sembuse yeye peke yake MIE NINA MABILION YALE YA UEFA TULIYOCHUKUA JANA
Pole sana...... Uwe unatuliza akili zako unapochagua mchepuko usikurupuke.....