Jana c nikatoka nikaanza kumsaka CUTE_b mana nlimpa jukumu mapemaaa, ila najua alikuja kujificha kwako
Hahahaha!! Ikawaje sasa?....
Hahahaa...wacha tuu mdau
michepuko haina kusitiri
Hahahahahahaha!! Hayatoshi bana anataka kumiliki vyote si unajua tena cute b mtoto wa OT tajiri wa England nzima sasa hajazoea shida,tafadhali usije mtesa wangu......
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha mbavu zangu mkuuWanaume ni kama watoto tuu nilimdanganya nipo kwenye siku zangu maana PNC 1 alikuwa anataka anionje kabla hajanipeleka kwa Arsenal... nikamdanganya danganya akaelewa nikamwambia leo nitajipeleka mwenyew... hahahaaaa atanisikilizia kwenye bomba ananipigia tangu saa 4 ya asubuh sipokei
Wanaume ni kama watoto tuu nilimdanganya nipo kwenye siku zangu maana PNC 1 alikuwa anataka anionje kabla hajanipeleka kwa Arsenal... nikamdanganya danganya akaelewa nikamwambia leo nitajipeleka mwenyew... hahahaaaa atanisikilizia kwenye bomba ananipigia tangu saa 4 ya asubuh sipokei
Sometime inasitiri tena sanaa, tatizo wewe ulikuwa unachagua type zile zile unafuata mkondo ule ule, siku nyingine uwe unajitoa ufahamu unapenda visivyovutia uone ndani kunani utapishana na mema ya nchi shauri yako.... Lol
Barca ndio makaz yangu makuu mchumba kifupi nilianza kuipenda barca na nikawa cjajuaga kama kuna ligi ya epl baada ya kama mwaka ndio nikaanza kuckia liver mara arsenal na man u mm si wa zamani sana kwenye mpira nina miaka 10 tu ila kitu ninachojivunia nikuwa ndoo zote za barca uefa katka karbe hii ya 20 nimeziona fainal zake na kingine tangu 2012 mpaka leo cjawai kosa kuangalia mechi hata moja ya barca iwe la liga,uefa,copa del ray n.k hata zichezwe saa 8 usikuHahahaaaa kweli watoto wa OT ni sheeda atawezea wapi?
Ivi mamy huyu PNC 1 barca ni nyumba ndogo yake au ndo makazi? Je Cardinal06? Nijibu wew maana nwogopa kuwauliza
PNC 1 Barca damu.... Cardinal06 siyo sana ila ni timu Messi... Lol, PNC 1 juzi alinichukia acha tu kisa eti kwanini nimemsifia bebito wangu wa Juve hadi walinitenga acha tu.......yaani mimi namwangalia tu hapa anavyojikomba kwako ntarevange mimi oh!!!!Hahahaaaa kweli watoto wa OT ni sheeda atawezea wapi?
Ivi mamy huyu PNC 1 barca ni nyumba ndogo yake au ndo makazi? Je Cardinal06? Nijibu wew maana nwogopa kuwauliza
Hahahaha!!! Safi sana lakini hata hivyo PNC 1 alikuwa bwax mbaya yeye akiulizwa kitu au akisalimiwa tu anajibu RAHA KAMILI RADHA THABITI......mimi nikajua labda ameshakuonjapo ndo maana anajibu hivyo.
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha mbavu zangu mkuu
Barca ndio makaz yangu makuu mchumba kifupi nilianza kuipenda barca na nikawa cjajuaga kama kuna ligi ya epl baada ya kama mwaka ndio nikaanza kuckia liver mara arsenal na man u mm si wa zamani sana kwenye mpira nina miaka 10 tu ila kitu ninachojivunia nikuwa ndoo zote za barca uefa katka karbe hii ya 20 nimeziona fainal zake na kingine tangu 2012 mpaka leo cjawai kosa kuangalia mechi hata moja ya barca iwe la liga,uefa,copa del ray n.k hata zichezwe saa 8 usiku
khaaaah....
sasa copa america nimechagua mexico, hapo napo vipi nimelala ndani au nimelala getini ?
Kumbe wewe bado kavulana eeeh!!! (Jokes) Sikupi mdogo wangu...... HahahahaBarca ndio makaz yangu makuu mchumba kifupi nilianza kuipenda barca na nikawa cjajuaga kama kuna ligi ya epl baada ya kama mwaka ndio nikaanza kuckia liver mara arsenal na man u mm si wa zamani sana kwenye mpira nina miaka 10 tu ila kitu ninachojivunia nikuwa ndoo zote za barca uefa katka karbe hii ya 20 nimeziona fainal zake na kingine tangu 2012 mpaka leo cjawai kosa kuangalia mechi hata moja ya barca iwe la liga,uefa,copa del ray n.k hata zichezwe saa 8 usiku
PNC 1 Barca damu.... Cardinal06 siyo sana ila ni timu Messi... Lol, PNC 1 juzi alinichukia acha tu kisa eti kwanini nimemsifia bebito wangu wa Juve hadi walinitenga acha tu.......yaani mimi namwangalia tu hapa anavyojikomba kwako ntarevange mimi oh!!!!
Hivi mfungaji bora kachukua Nani cz messi,neymar na ronaldo wana goli 10 wote
Kulingana na wachambuzi wa soka wanasema wote wanachukua tuzo hiyo.
Hahahaaaaa kumbe eeee.....
Huyo team mesi umenichekesha sana yaaan kumbe yey anapenda mesi na sio club
Hivi mfungaji bora kachukua Nani cz messi,neymar na ronaldo wana goli 10 wote