Jana c nikatoka nikaanza kumsaka CUTE_b mana nlimpa jukumu mapemaaa, ila najua alikuja kujificha kwako
Hahahaaaa wapi wew jana ulishakimbia mapema ulivyo ona juve wamerudisha ile goli ukaona kit.o.mb kitakuhusu usiku kucha ukasepa hahahaaaaaaaa....
Last edited by a moderator: