Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Hahahaaaa kwa nini zile? Au una mpango wa kunivimbisha tumbo?

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha tumbo hapana naofia ucje niletea mtoto mshabiki wa arsenane au liverfool
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha tumbo hapana naofia ucje niletea mtoto mshabiki wa arsenane au liverfool

Hahahaaaaa thubutuuuu....
Bora nikuletee baa medi kuliko looserfool
 
Twende mamy...kuna trouser mithili ya skin nililetewa juz juzi daah ya ukweli kinoma na ina chata la ukweli yaan apa nangoja msimu ujao watani zetu watafurahi na shoo

Mumy mithili ya skin? Na huu uchibonge wangu si nitatega balaa hahahaha mumy nipe location nami nikajichagulie size yangu.....
 
najua imewauma sana barcelona kufungwa!!!!poleni sana kwa loss😀😀😀😀😎:beer::beer:
 
Hahahaaaa kweli watoto wa OT ni sheeda atawezea wapi?
Ivi mamy huyu PNC 1 barca ni nyumba ndogo yake au ndo makazi? Je Cardinal06? Nijibu wew maana nwogopa kuwauliza

Hahahahaha jaman mm Emirates ndo nyumbani....huku kwngne ni michepuko tuu. Barca ndo mchepuko nnaoukubali zaidi maana una vitu nnavyovikubali.
 
Last edited by a moderator:

Ayayayayayaaa mm barca ni mchepuko namba moja.....walai hata akitimuliwa na mme wake naeza kumkaribisha nyumban na njia kuu haez kumaind maana umemzidi kiduchu vigezo.
 
Last edited by a moderator:
Acha zivunjike tuu wee jana kisa cha kutaka kunifunga magoli ya mbuzi kagoma ni nini??

Haaaaaaah PNC 1 alitaka kufanya mambo chap chap hata kabla hamjafika nyumban?? Na ww kwann ulikaa karibu naye na unajua ni mkorofi hvo.???
 
Haaaaaaah PNC 1 alitaka kufanya mambo chap chap hata kabla hamjafika nyumban?? Na ww kwann ulikaa karibu naye na unajua ni mkorofi hvo.???
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha kwani wewe mkuu ushajilia vyako
 
Kaja na visingizio vingiiiiiiii.....nikaona nimtulizie kwanza huyo namweka kiporo. Hahahaha

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha mkuu yanu leo cute b amenifurahisha sana kila nkiingia humu lazma nicheke
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha mkuu yanu leo cute b amenifurahisha sana kila nkiingia humu lazma nicheke

Tena nilimtuma akajichagulie pete kabisaaa akakimbia nayo.....sijaiona mpk sasa. Walai ntamtoa jino hhaahahahah
 
Last edited by a moderator:
Mumy mithili ya skin? Na huu uchibonge wangu si nitatega balaa hahahaha mumy nipe location nami nikajichagulie size yangu.....

Hahahaaaa yaan umesema utatege kuna watu washasimamisha yaani namaanisha kusimamisha magar. Hahah aaahaa ...zipo kama truck mumy ila kwa chin zinabana sio nyepesi...nililetewa na mtu ngoja nitakuulizia
 
Haaaaaaah PNC 1 alitaka kufanya mambo chap chap hata kabla hamjafika nyumban?? Na ww kwann ulikaa karibu naye na unajua ni mkorofi hvo.???

Nilikuwa sijui alafu ilikuwa ni usiku naogopa kurudi nyumban mwenyew akasema atanusindikiza duu kufika njian mapigo yake ya moyo yakaanza pwaa pwaa pwaaa haraka haraka...mihemo sasa uwiiiiii....bahati mbaya sijui ilikuwaje nikamgusa PNC 1 mwenyew daaahh kitu kimekasirika kinoma... nikasema acha nikimbie ananizuia anaomba ata dk moja kabla sijakupa wew....yaan namaanisha salam hahaha
 
Last edited by a moderator:
mkuu mbavu zangu mie watu wataniona chizi nacheka na cm ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Last edited by a moderator:

Ayiaaaaaaaaaaaaa we ilikuwaje mpk ukamshika PNC 1 mwny km sio uchokozi??
 
Last edited by a moderator:
Tena nilimtuma akajichagulie pete kabisaaa akakimbia nayo.....sijaiona mpk sasa. Walai ntamtoa jino hhaahahahah
Pete ninayo tayari njoo nikuoe... mimi nilikuambia usishabikie juve ukakataa ulitegemea juve angemfunga barca?
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha mkuu yanu leo cute b amenifurahisha sana kila nkiingia humu lazma nicheke
Lazma uwe na raha chezea kupata muke kirahisi rahisi wew...yaan free P

Kaja na visingizio vingiiiiiiii.....nikaona nimtulizie kwanza huyo namweka kiporo. Hahahaha
Nilikuwa kweny siku zangu nikimaliza nitakuambia.. hahahaaaa

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha kwani wewe mkuu ushajilia vyako
aliniogopa visingizio vingi ooohh sijala usiku maraa ooohh nipo kwenye dozi..hahahahaaaa Cardinal06 acha woga jaribu sitakuua..
 
Last edited by a moderator:

cute b Cardinal06 nawapa saluti na heshima nyingi ziwafikie hapo mlipo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…