subir kidogo mtoe zile zinazofananana madira ili nikununulie maana hyo itakufaa zaid
Hahahaaaa kwa nini zile? Au una mpango wa kunivimbisha tumbo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
subir kidogo mtoe zile zinazofananana madira ili nikununulie maana hyo itakufaa zaid
Tumia fursa twenzetu.... Hahahhaa
Hahahaaaa kwa nini zile? Au una mpango wa kunivimbisha tumbo?
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha tumbo hapana naofia ucje niletea mtoto mshabiki wa arsenane au liverfool
Twende mamy...kuna trouser mithili ya skin nililetewa juz juzi daah ya ukweli kinoma na ina chata la ukweli yaan apa nangoja msimu ujao watani zetu watafurahi na shoo
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ga ha haHahahaaaaa thubutuuuu....
Bora nikuletee baa medi kuliko looserfool
Hahahaaaa kweli watoto wa OT ni sheeda atawezea wapi?
Ivi mamy huyu PNC 1 barca ni nyumba ndogo yake au ndo makazi? Je Cardinal06? Nijibu wew maana nwogopa kuwauliza
PNC 1 Barca damu.... Cardinal06 siyo sana ila ni timu Messi... Lol, PNC 1 juzi alinichukia acha tu kisa eti kwanini nimemsifia bebito wangu wa Juve hadi walinitenga acha tu.......yaani mimi namwangalia tu hapa anavyojikomba kwako ntarevange mimi oh!!!!
Acha zivunjike tuu wee jana kisa cha kutaka kunifunga magoli ya mbuzi kagoma ni nini??
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha kwani wewe mkuu ushajilia vyakoHaaaaaaah PNC 1 alitaka kufanya mambo chap chap hata kabla hamjafika nyumban?? Na ww kwann ulikaa karibu naye na unajua ni mkorofi hvo.???
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha kwani wewe mkuu ushajilia vyako
Mumy mithili ya skin? Na huu uchibonge wangu si nitatega balaa hahahaha mumy nipe location nami nikajichagulie size yangu.....
Haaaaaaah PNC 1 alitaka kufanya mambo chap chap hata kabla hamjafika nyumban?? Na ww kwann ulikaa karibu naye na unajua ni mkorofi hvo.???
mkuu mbavu zangu mie watu wataniona chizi nacheka na cm ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haNilikuwa sijui alafu ilikuwa ni usiku naogopa kurudi nyumban mwenyew akasema atanusindikiza duu kufika njian mapigo yake ya moyo yakaanza pwaa pwaa pwaaa haraka haraka...mihemo sasa uwiiiiii....bahati mbaya sijui ilikuwaje nikamgusa PNC 1 mwenyew daaahh kitu kimekasirika kinoma... nikasema acha nikimbie ananizuia anaomba ata dk moja kabla sijakupa wew....yaan namaanisha salam hahaha
Nilikuwa sijui alafu ilikuwa ni usiku naogopa kurudi nyumban mwenyew akasema atanusindikiza duu kufika njian mapigo yake ya moyo yakaanza pwaa pwaa pwaaa haraka haraka...mihemo sasa uwiiiiii....bahati mbaya sijui ilikuwaje nikamgusa PNC 1 mwenyew daaahh kitu kimekasirika kinoma... nikasema acha nikimbie ananizuia anaomba ata dk moja kabla sijakupa wew....yaan namaanisha salam hahaha
Pete ninayo tayari njoo nikuoe... mimi nilikuambia usishabikie juve ukakataa ulitegemea juve angemfunga barca?Tena nilimtuma akajichagulie pete kabisaaa akakimbia nayo.....sijaiona mpk sasa. Walai ntamtoa jino hhaahahahah
Lazma uwe na raha chezea kupata muke kirahisi rahisi wew...yaan free Pha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha mkuu yanu leo cute b amenifurahisha sana kila nkiingia humu lazma nicheke
Nilikuwa kweny siku zangu nikimaliza nitakuambia.. hahahaaaaKaja na visingizio vingiiiiiiii.....nikaona nimtulizie kwanza huyo namweka kiporo. Hahahaha
aliniogopa visingizio vingi ooohh sijala usiku maraa ooohh nipo kwenye dozi..hahahahaaaa Cardinal06 acha woga jaribu sitakuua..ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha kwani wewe mkuu ushajilia vyako
Pete ninayo tayari njoo nikuoe... mimi nilikuambia usishabikie juve ukakataa ulitegemea juve angemfunga barca?
Lazma uwe na raha chezea kupata muke kirahisi rahisi wew...yaan free P
Nilikuwa kweny siku zangu nikimaliza nitakuambia.. hahahaaaa
aliniogopa visingizio vingi ooohh sijala usiku maraa ooohh nipo kwenye dozi..hahahahaaaa Cardinal06 acha woga jaribu sitakuua..