Hahahaaaa yaan umesema utatege kuna watu washasimamisha yaani namaanisha kusimamisha magar. Hahah aaahaa ...zipo kama truck mumy ila kwa chin zinabana sio nyepesi...nililetewa na mtu ngoja nitakuulizia
Ayayayayayaaa mm barca ni mchepuko namba moja.....walai hata akitimuliwa na mme wake naeza kumkaribisha nyumban na njia kuu haez kumaind maana umemzidi kiduchu vigezo.
Hahahhahah!! Watajiju wakiona kichaka tu mavi yanawabana vichaka vingine vina nyoka....... Hahahaha mumy hiyo niliiipata jana mahali wakati nakatiza nilicheka mpaka basi.......mumy hiyo itanifaa sana hata kwa gym pia maana ninavyojitahid kupungua sasa ndo sipungui acha tu.
Nilikuwa sijui alafu ilikuwa ni usiku naogopa kurudi nyumban mwenyew akasema atanusindikiza duu kufika njian mapigo yake ya moyo yakaanza pwaa pwaa pwaaa haraka haraka...mihemo sasa uwiiiiii....bahati mbaya sijui ilikuwaje nikamgusa PNC 1 mwenyew daaahh kitu kimekasirika kinoma... nikasema acha nikimbie ananizuia anaomba ata dk moja kabla sijakupa wew....yaan namaanisha salam hahaha
Pete ninayo tayari njoo nikuoe... mimi nilikuambia usishabikie juve ukakataa ulitegemea juve angemfunga barca?
cute b we nimekuweka kiporo mok mwez wa nane
Lazma uwe na raha chezea kupata muke kirahisi rahisi wew...yaan free P
hahahahahah hapo sio buree ati nmefanya kaz
Nilikuwa kweny siku zangu nikimaliza nitakuambia.. hahahaaaa
hayo mdanganye PNC 1 tuuuuuu mm huwa nahakikisha mwnyw maana wa dijitali mna visingizio sana
aliniogopa visingizio vingi ooohh sijala usiku maraa ooohh nipo kwenye dozi..hahahahaaaa Cardinal06 acha woga jaribu sitakuua..
cute b Cardinal06 nawapa saluti na heshima nyingi ziwafikie hapo mlipo

Hahahaaaa mimi ni kimbau mbau ninavyotamani tuu kunenepa jamani nakushangaa wew unaopunguza..nigee mimi mamyy
Loh!! Embu fungua Bluetooth nikumwagie hizi Neema maana zimezidi ,utanenepa tu mumy ila unenepe kidogo tu zaidi kwenye vile vilele viwili vya mlima Kilimanjaro mpaka PNC 1 na Cardinal06 wakuhonge mpaka basi!!!!!

Hahahahaaa hajaaonja kitu akaondoka surual imepiga jeki balaaa. Au labla ndo Ladha thabit hahahaaaaa....nyie watu jamani nawapenda sana... nikiwa nimenuna nikiingia humu naenjoy..
Penda sana everlenk miaka 100
Hahahhahah!! Angalia usitusuliwe wewe siku hizi wanawake tunabaka.........
Hahahaaa labla sio watoto wa OT tuna sound sisi... everlenk ameshakuambia magoli tuu hayatoshi je una hela?
Aiseeeeeee na everlenk una akiliiiiiii.....nipe namba ya mmeo hapa nimpe habari njema....vile vilele ndo vyenyewe.....aviandae tuu mok mwez wa nane viwe swaaaf