everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,027
Hahahaaaa yaan umesema utatege kuna watu washasimamisha yaani namaanisha kusimamisha magar. Hahah aaahaa ...zipo kama truck mumy ila kwa chin zinabana sio nyepesi...nililetewa na mtu ngoja nitakuulizia
Hahahhahah!! Watajiju wakiona kichaka tu mavi yanawabana vichaka vingine vina nyoka....... Hahahaha mumy hiyo niliiipata jana mahali wakati nakatiza nilicheka mpaka basi.......mumy hiyo itanifaa sana hata kwa gym pia maana ninavyojitahid kupungua sasa ndo sipungui acha tu.