Ntuzu umesikiaa?? Usije ukanila mimi nakuheshimu kama shemeji.
Ata tukilala kitanda kimoja usisogeze kamkono maana nitasababisha uachwe coz ukinigusa tuu najilegeza unanila afu nashtaki unaachwa...hahahaaa
Hahahahaaa sichezi na wewe kumbe wewe unataka nikule?
Ukisema tu nakusemea kwa mods wanakulamba ban!!!
Nije kula mie?
??????????
Hahahaaaaa apa tunawachuna mpaka watembee uchi... Ntuzu, b5-click , PNC 1 , Cardinal06 , hawa ni wanne sasa tugawane...
Wakishindwa kutoa hela basi tutawageuza ma house boy hahahaaa A.K.A kaka wa kazi.
Chagua wako wawili nichie wawili nita hakikisha nawaleta OT waachane umasikin
Mumy mimi niachie huyu Cardinal06 anajifanya mgumu sana, b5-click huyu naye niachie niendelee kumtepesha zaidi .
Hahahahah... OT paleee napaona sijui niendee!??
Hahahaaaa ebu njoo usign utanikuta getini
Naogopa mahaba niueeee
Ndo kawaida yenu watoto wa mou waoga
cute b umesikia? Hivi niambie b5-click amelipa ile bando ya DSTV?......tuanzie hapo ili nijue .......halafu huyu b5-click anajifanya mjanja mjanja juzi si kanidanganya eti anashabikia Barca hee namkuta mtaa wa pili eti anasema yy ni team Juve..... Ila nilishukuru tu maana alituondolea kimkosi.Sifa moja we umenikamataaa... We ndo kiboko yangu...
Eeeh mamitoh hayo ya kukukimbia kwenda st.Peter's Basilica si yaliisha!?
Ai yaani ndo umekuja sasahiv? Wewe subir version nyingine tena......
Kwanini unidanganye mtoto mzuri kama mimi? Kama ni penzi ushalitia doa.....kitu kidogo kama hicho ni fix kugegedana je?