Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Ntuzu umesikiaa?? Usije ukanila mimi nakuheshimu kama shemeji.
Ata tukilala kitanda kimoja usisogeze kamkono maana nitasababisha uachwe coz ukinigusa tuu najilegeza unanila afu nashtaki unaachwa...hahahaaa

Nije kula mie?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa apa tunawachuna mpaka watembee uchi... Ntuzu, b5-click , PNC 1 , Cardinal06 , hawa ni wanne sasa tugawane...
Wakishindwa kutoa hela basi tutawageuza ma house boy hahahaaa A.K.A kaka wa kazi.
Chagua wako wawili nichie wawili nita hakikisha nawaleta OT waachane umasikin

Hahahahah... OT paleee napaona sijui niendee!??
 
Last edited by a moderator:
Sifa moja we umenikamataaa... We ndo kiboko yangu...
cute b umesikia? Hivi niambie b5-click amelipa ile bando ya DSTV?......tuanzie hapo ili nijue .......halafu huyu b5-click anajifanya mjanja mjanja juzi si kanidanganya eti anashabikia Barca hee namkuta mtaa wa pili eti anasema yy ni team Juve..... Ila nilishukuru tu maana alituondolea kimkosi.
 
Eeeh mamitoh hayo ya kukukimbia kwenda st.Peter's Basilica si yaliisha!?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom